Ni zipi Tabia za Mabinti Wapogoro

Status
Not open for further replies.

Powel Mizengo

Senior Member
Joined
Jan 20, 2014
Posts
126
Reaction score
24
Habari za Jumapili wana JF,

Nimesafiri nipo maeneo fulani hivi huku Ifakara Upogoroni, nipo kikazi. Kwa kweli wenyeji wangu wamenipokea vizuri sana, iIa naomba mnisaidie kwa yeyote anayejua kiundani tabia za kabila la huku hususani hawa mabinti

Manake ntakuwepo huku for almost 2months, nadhani mpaka hapo wakuu mmeshanielewa nina maana gani.

Karibuni
 
Tukutane Marangu park pale karibu na NMB,nikumwagie mashule kuhusu hao mabinti
 

Wana kata viuno hatareeeeee
 
Huu muda wa PEPETA (mpunga mbichi uliokaangwa na kutwangwa), ukiona umeletewa izo na binti ujue....!
 
Ifakara kuna wapogoro? Labda wa kuhamia....

Wapogoro wako kuanzia mahenge huko mtimbira nk

Ifakara wamejaa wandamba, wanguu nk

Ila miezi miwili tu hujitulizi unataka kuharibu mabinti za watu
 
Kuna mchele unaitwa 'mchopeko', ukipikwa mtaa wa pili wanaitikia kama lile tangazo la knorr sijui? Wakimpa huo harudi huyo!

Oooob mama
Na kipindi hiki waliopanda mapema mdogo mdogo wanaokoteza

Mpogoro wake samaki na wali tu....shurti unukie hadi mtaa wa saba...wali mtamu hauhitaji nazi waka mafuta
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…