Ngambo Ngali
JF-Expert Member
- Apr 17, 2009
- 3,517
- 1,360
Napenda kujua Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ana Kazi zipi?
Katiba anampa madaraka makubwa Rais kuteua wasaidizi wa kumsaidia kuendesha serikali, endapo msaidizi au wasaidizi hao aliowateua wanashindwa kufanya kazi, uwajibakaji uwe kwa nani mteule au mteua.
Nani ana wajibu wa kumkumbusha Rais baadhi ya kazi zake k.m. kuna mikoa kama sita hivi haina wakuu wa mikoa na baadhi ya nafasi ambazo zimeanzishwa kikatiba ni nani wa kumkumbusha Rais?