kareem kim
JF-Expert Member
- Sep 18, 2015
- 439
- 635
Mi alininunulia soksi, jozi Kama 5 alini notice sipendi kuvaa soksi, that gal was so gud to me,
Naomba nikuletee zawadi hata kama si mwandani wangu.....thijawai pokea dhawadi
Martha mamboWallet ya sh 50,000..ambayo iliambatana na maneno haya"Martha unanivumilia mengi nimeamua kukutunuku hii zawadi"
NtashukuruNaomba nikuletee zawadi hata kama si mwandani wangu.....
Ila ukae ukijua malipo ni hapa hapa dunianimm nilipewa tigo