Ni zawadi gani nzuri uliwahi kuipata kutoka kwa mwandani wako?

Wangu huwa wanaishia kuniuliza ninapenda nguo type zipi, rangi zipi, size za viatu daaah halafu inabaki story. Kuna mwingine juzi alianza kuniuliza hayo maswali nkajikuta nacheka maana nlikumbuka wenzie waliomtangulia.

Ila nliwahi kupewa zawadi ya saa na demu wa mshikaji wangu, it was nice.
 
Aliniletea sigara na kiberiti, nikiwa lumande kwa siri kubwa, mpaka leo sijatokea kumsahau alipoolewa bila hiana nilimpa zawadi ya bandari ya mabati, mbuzi jike na kamba ndefu.

Huyo kweli komando na hauwezi kumsahau. Sio kwa kiu la sigara inavyokuaga mle ndani. Na mpaka akaipenyeza hatari sana
 
Back
Top Bottom