Francis12
JF-Expert Member
- Sep 30, 2016
- 7,533
- 22,278
Ni zaidi ya miezi mitatu sasa mahakama ya Tanzania haina Jaji Mkuu. Kikatiba, Jaji Mkuu anateuliwa na Rais. Jaji Mkuu aliyepita hakujiuzulu, alistaafu rasmi na ikulu ilikuwa na taarifa zote lakini haikufanya uamuzi wa kumpata Jaji Mkuu mwingine. Aliyeko anaendelea kukaimu. I smell something fishy (nanusa jambo fulani baya).