Ni yule yule mwizi wa jana

ogm12000

JF-Expert Member
Oct 5, 2007
304
86
Kuna jamaa mmoja alikuwa mwizi sana, mbagala nzima anafahamika kwa jina la Daruweshi. Siku moja akaenda kuiba dukani kwa Mangi.. Kwa bahati mbaya akaonekana wakamkimbiza na kumkamata wakuamua kumla TIGO(Kisamvu cha kopo) watu kama kumi hivi..


Next day akarudi tena mara hii akagonga mlango wa dukani maana walikuwa wameshafunga tayari.

Mangi: akauliza wewe ni nani?

Jamaa:Yule mwizi wa jana

Mangi akatoka ndani na panga na kuchinja chinja

Kumbe jamaa alikuwa ni SHOGA alitaka kuliwa tena....lol
 
Ndio hivyo mazee!! Wezi wengine nomaa... Unaweza kuna mwizi kumbe mambo fulani...:)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom