Ni Youtube Channels zipi za Kitanzania zinakuvutia?

SAYVILLE

JF-Expert Member
Mar 25, 2010
5,129
7,896
Youtube imethibitisha ni mtandao imara inapokuja suala la online video content.

Ningependa kujua wewe binafsi na wengine, ni channels gani ambazo umesubscribe na unapenda kazi zao na mara kwa mara unazifuatilia? Hii iwe kwa channels za burudani, vichekesho, filamu, muziki, habari, nk.

Nitajie at least Youtube channels TATU unazozikubali.

Pia nitajie channels ambazo unadhani zina mapungufu ambayo wangerekebisha wana nafasi ya kufanya vizuri sana.
 
Menina TV online
Aber rutty TV
Miriam Biriani TV Online.
Gwajiboy TV.
,

NASHAURI WAONGEZE BIDII TU YA KUTUPIA VIDEO NA SIJAONA KASORO YOYOTE.
 
Naona wengi mnafuatilia zaidi mambo ya Habari kule youtube. Hamna channels nyingine za burudani ambazo wanajitahidi?
 
Zawiya shabani-DIY kuna content nzuri sana kwa wanaopenda kujifunza kutengeneza mapambo simple simple ya kupendesha nyumba.
 
Back
Top Bottom