Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 57,139
- 128,779
Mfumo wa Uchaguzi Tanzania ni kuwa anayepata kura nyingi ndiye mshindi. Hii inamaanisha kuwa Rais, Mbunge au Diwani atakayepata kura nyingi ndie atakayetangazwa mshindi, na ushindi katika uchaguzi ni by a simple majority, the winner takes it all, hata mkipishana kwa kura moja, hatuna serikali ya mseto.Kwa mujibu wa katiba yetu, na sheria yetu ya uchaguzi,Wakuu Salaam:
Ni yapi mazingira ya Serikali ya Mseto?
Nimeuliza makusudi tu nataka niyajue!
Nimemaliza.
Katiba ya Zanzibar wao wana serikali ya mseto, lakini katiba hiyo haitambuliwi na katiba ya JMT.
Kwa mujibu wa katiba yetu, rais wa Zanzibar ni mjumbe wa cabinet yetu, na hatuna serikali ya mseto, hivyo kikatiba, rais wa Zanzibar lazima awe ni wa chama kimoja na bara!.
Ili kuwa na serikali ya mseto, lazima kuwe na idadi ya kura za urais na idadi ya viti vya ubunge ambayo lazima ifikiwe, usualy theluthi mbili.
Sasa isipotimia, ndipo chama ambacho hakijatimiza inabidi kuungana na chama kingine ili kutimiza idadi.
P