isajorsergio
Platinum Member
- Apr 22, 2018
- 4,152
- 6,601
Akikua atajua sasa hivi bado mdogotafuta demu mwambie anyonye utagundua hizo nyonyo zako kama zina maziwa...
Nafikiri ziliwekwa tu reserve kama ilivyo spear tairi kwenye gari ila kwa wenzetu ambao ni chakla ama mchele mchele hizi matumizi yake ni sawa na matumizi ya nyonyo za jinsia pendwa. Asante!Ni yapi matumizi sahihi ya nyonyo (Maziwa/Matiti) ya kiume?
Nimekuwa nikijiuliza, jiangalia na kushangaa hizi nyoyo matumizi yake ni yapi?
Maana nafahamu fika matumizi ya vidole, macho, maskio, pua na mengineyo mengi ilhali nimeshindwa kutanabaisha na kuelewa matumizi na yaliyo sahihi ya nyonyo hizi za kiume.
Katika kila hatua ya elimu niliyopita hamna hata mkufunzi mmoja aliyenifunza matumizi ya nyonyo hizi ilhali nakumbuka nilifunzwa kazi na matumizi ya pua.
Mwenye kufahamu naomba anipe elimu katika hili.
ndevu zako ni kwa ajili ya urembo?? hagahahaaaaaHiv tusingekuwa na hizo chuchu vifua vingefananaje?
Na kama kuwa na ndevu Kwani zinakazi yoyote zaidi ya urembo
Kwani ndevu zinakazi gani zaidi ya urembo wa kiume?ndevu zako ni kwa ajili ya urembo?? hagahahaaaaa
kwahiyo osama angekua mrembo zaidi duniani kuliko wanaume wote
asa wanaonyoa hawataki urembo?
๐ ๐ Prof. Daudi Mchambuzi zinaleta ushirikiano baina ya ubongo na akili?Hizo kazi yake ni kuchezewa na wadada wakati wanaomba pesa.
Kwa maana hiyo mfumo wa maziwa unatofautiana na mfumo wa jinsia ke? Na uhifadhi wake unapatikana ndani ya kifua?tafuta demu mwambie anyonye utagundua hizo nyonyo zako kama zina maziwa...
Unadhani waliyofunzwa wenzako wote na wewe ulifunzwa? Na kama ni hapana u (you) studied poorly?Kama hukufundishwa vestigial structures ni nini, then u studied poorly.. karudie tena shule
Kwahiyo ni mahsusi kwa kunyonywa?Akikua atajua sasa hivi bado mdogo
Kumbe! Sikufahamu hiloUrembo
Wait! ๐ฎ Inawezekana kuna suala nyuma ya pazia juu ya hili?Nafikiri ziliwekwa tu reserve kama ilivyo spear tairi kwenye gari ila kwa wenzetu ambao ni chakla ama mchele mchele hizi matumizi yake ni sawa na matumizi ya nyonyo za jinsia pendwa. Asante!
๐ฑYatokana na gonadi ambayo ipo kwa wote ila hilo tezi lategemea kuchochea homoni gani kwa me au ke.