Ni wimbo gani unaokuboa?

Ni wimbo gani unaokuboa?

Hapa lawyer nimegundua kitu.

Yaani ikianzishwa sredi ya kuulizia nyimbo unazopenda watu wanakuwa bizee kutaja ma nyimbo ya wazungu, leo limeanzishwa sredi la nyimbo zinazokuboa naona majamaa mnatembea na nyimbo za bongo tu.

Nafunga posti kwa signecha ya rais wa wabeba maboksi, mheshimiwa nyani ngabu "miafrika ndivyo tulivyo"

DJ tunaomba wimbo wa taifa

lawyer umeliona hiloo eeh! Dah. Mnatukatisha tamaa sisi waimba bongo flavour.
 
kuna huyu lymfao wimbo mmoja wanacheza kikameruni (uk)yaani nikiusikia nahisi nasikiliza mashoga!
 
Bongo fleva zote zinakera, zinaudhi zinatapisha. zinapendwa tu na mabinti wa form two na wadada wa secretarial.
Kuna hizi Bongo-gospel ukiwemo huo wa Mwaitege, Rose Muhando, Mbasha etc. ambazo zinamkera hata Mungu ndio maana Tanzania iko kwenye laana
 
1. nyimbo zote za ccm
2. nyimbo za west life
3. zote za mr blue na dulysikes
 
nimekua teeeeeja,teja wa mapenzi,i really hate that song.na ule wa naenda kumwambia mama....uwiii natapika kabisa
 
Nyimbo zote za kuisifu ccm na mmoja cjui kaimba nani anasema lizi one kaongee na mshua unaniboa na siupendi
 
Bongo fleva zote zinakera, zinaudhi zinatapisha. zinapendwa tu na mabinti wa form two na wadada wa secretarial.
Kuna hizi Bongo-gospel ukiwemo huo wa Mwaitege, Rose Muhando, Mbasha etc. ambazo zinamkera hata Mungu ndio maana Tanzania iko kwenye laana
Hahahaha dah! Hii ni kubwa kuliko,tuendelee kumpiga mawe shetani. Nalog off
 
Back
Top Bottom