son of the most high-01
Member
- Nov 14, 2023
- 5
- 66
Kwa sababu zilizokuwa nje ya uwezo wangu, nilichelewa kufanya tohara,
Ni wiki tatu sasa tangu nifanye tohara, na kwa mara ya kwanza nimeshiriki tendo kwa siku mbili bila kumaliza.
Yaani siku ya kwanza, nafanya hadi nachoka,simalizi
Siku ya pili pia nafanya hadi nachoka, simalizi.
Je nini inaweza ikawa ni tatizo?
Je au nimefanya ngono mapema sana baada ya tohara?
Je nifanye nini au nitumie nini ili nifike mwisho wa tendo?
Je kuna mtu aliwahi kutana na kazia hii,ulifanyaje?
Naomba msaada wa ushauri
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app