Ni wiki sasa nimesusiwa chumba nimenuniwa

M
Kosa langu siku anafika hata hajakaa home kaondoka sijui kaenda wapi. Nami nikaenda zangu kupiga maji jioni narudi nimwite nimuulize kulikoni unafika hata hujatulia tupeane habari za safari wewe unaondoka mke kakimbia baada ya kusikia harufu ya pombe alihisi labda nitampiga. Mi nikafunga milango nikalala na watoto. Hiki ndo chanzo cha yeye kuniachia chumba

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
Mh mbona hauna kosa kama ndo hivi japo nahisi kuna kingine hujasema
 
Mlisimama wawili kutongozana,mmalizane wawili....nasi tuna yetu tunayashughulikia
 
Kosa langu siku anafika hata hajakaa home kaondoka sijui kaenda wapi. Nami nikaenda zangu kupiga maji jioni narudi nimwite nimuulize kulikoni unafika hata hujatulia tupeane habari za safari wewe unaondoka mke kakimbia baada ya kusikia harufu ya pombe alihisi labda nitampiga. Mi nikafunga milango nikalala na watoto. Hiki ndo chanzo cha yeye kuniachia chumba

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
Alilala wapi?huyo nae ana vijambo na vimambo
 
Kosa langu siku anafika hata hajakaa home kaondoka sijui kaenda wapi. Nami nikaenda zangu kupiga maji jioni narudi nimwite nimuulize kulikoni unafika hata hujatulia tupeane habari za safari wewe unaondoka mke kakimbia baada ya kusikia harufu ya pombe alihisi labda nitampiga. Mi nikafunga milango nikalala na watoto. Hiki ndo chanzo cha yeye kuniachia chumba

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
Unamfungia mkeo nje?!
 
Watu kama nyie ambao kila jambo mnakimbilia mitandaoni mara nyingi ndio huwa mna shida na mnatafuta huruma ya watu kujifariji.

Na si ajabu mkeo naye angepata nafasi ya kuelezea hayo makosa madogo usiyoyataja ni dhahiri na yeye angeshauriwa hiki hiki unachoshauriwa na watu humu.
 
Pole kwa changamoto, ila hawa wanawake wa siku hizi ni tatizo sana kwakweli wanakuwa na mambo ya ajabu sana utazani hawajachezwa unyago
 
Anakofanya kazi kuna Mtu wake na anamfikisha

Mwanamke mwenye ndoa na watoto 2 hawafanyi hivyo niamini ,
Hapo anakuzuga umpe talaka akaalalishe penzi jipya
 
Huyo huenda keshapata mchepuko huko alipo. Anatafuta sababu za kuondoka mazima! Fungua macho ndugu!
 
Ila wanaume siku hizi tumekuajee asee yani too soft kweli hilo linakusumbua??
 
Kama mada inavyojieleza

Yapata wiki sasa nimesusiwa chumba nalala peke angu na nimenuniwa kabisa na mke wangu.

Ni hivi naishi na mke mbalimbali yani mikoa tofauti. Alikuja hapa maskani ila kuna kamgogoro kadogo kalitokea asubuhi yake nikagundua kosa langu nikamwomba samahani mke wangu lakini kilichotokea ni yeye kuhama chumba analala na watoto na ameninunia

Anaongea na wapangaji wangu eti ili yaishe niwapigie simu wazazi wake niwaombe samahani. Sasa najiuliza tugombane sie samahani nimwombe mamake katu siwezi kufanya huo ujinga

Kila unapotokea mkwaruzano mke anawahi kusema tuachane bora aishi msimbe na kuwa mdangaji

Sasa naona awamu hii kaamua kweli awe msimbe na mdangaji. Nimejaribu kutafuta suluhu naona mwenzangu kaamua kukaza

Basi nami nimeona niendelee na mishe zangu sibembelezi tena.

Ndoa zinachangamoto sana hasa ukiwa na mke mbishi mjuaji asietaka kukubali yaishe.

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
Huyo hakutaki anatafuta GIA ya kuondokea
 
Kuna mambo yanasikitisha sana, mambo yake muachie mwenyewe...
 
Kama mada inavyojieleza

Yapata wiki sasa nimesusiwa chumba nalala peke angu na nimenuniwa kabisa na mke wangu.

Ni hivi naishi na mke mbalimbali yani mikoa tofauti. Alikuja hapa maskani ila kuna kamgogoro kadogo kalitokea asubuhi yake nikagundua kosa langu nikamwomba samahani mke wangu lakini kilichotokea ni yeye kuhama chumba analala na watoto na ameninunia

Anaongea na wapangaji wangu eti ili yaishe niwapigie simu wazazi wake niwaombe samahani. Sasa najiuliza tugombane sie samahani nimwombe mamake katu siwezi kufanya huo ujinga

Kila unapotokea mkwaruzano mke anawahi kusema tuachane bora aishi msimbe na kuwa mdangaji

Sasa naona awamu hii kaamua kweli awe msimbe na mdangaji. Nimejaribu kutafuta suluhu naona mwenzangu kaamua kukaza

Basi nami nimeona niendelee na mishe zangu sibembelezi tena.

Ndoa zinachangamoto sana hasa ukiwa na mke mbishi mjuaji asietaka kukubali yaishe.

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
Pale Saint Kanumba anapooana na wa Academic school Kila kitu ngoja nitamuambia Dady.
 
Duuh mnagombana na mke lkn anatangaza nje?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom