mmh balaa
Mwanamke tabia, sio umbo wala sura. Ila kama unapenda zaidi hips endelea kutafuta.
Ni mzuri kwa sura na ana tabia nzuri anapenda kuvaa magauni na nguo zisizombana ili umbo lake lisionekane. Jana jumapil alinikubalia mechi ndo nikaona alivo.
Mwenzenu nilishaamini hapa nimepata mke sa kumbe binti hana hips hata kidogo ambacho ndo kitu kinachonipagawisha zaidi kwa mwanamke. Nashindwa kufanya maamuzi nimuoe tu au nimuache nitafute mwingine.

Shida si kwamba mwembamba tatizo shape...! Umbo kama mfuko wa simenti ni sheeeeedah!
Duh sasa c umshukuru Mungu tuu umuoe...namuonea huruma uyo bint
sasa kwanini hua mnajiremba?
hivi hata wanawake nao wanatuchambua namna hii jaman?? mara hips mara tako mara figure cjui shepu, rangi, unene wembamba sura macho tumbo urefu nywele miguu lips kope nyusi maji, mnato imetumika kiasi gan nk.. tutafika kweli kama mtu akiwa na nyusi fupi tu anapigwa chini!
Ni mzuri kwa sura na ana tabia nzuri anapenda kuvaa magauni na nguo zisizombana ili umbo lake lisionekane. Jana jumapil alinikubalia mechi ndo nikaona alivo.
Mwenzenu nilishaamini hapa nimepata mke sa kumbe binti hana hips hata kidogo ambacho ndo kitu kinachonipagawisha zaidi kwa mwanamke. Nashindwa kufanya maamuzi nimuoe tu au nimuache nitafute mwingine.
Yaani siku hizi kwenye kuoa watu wanaangalia vitu visivyo vya muhimu sana