Ni wife material ila hana hips

There are invisible important things that man should take over those which are visible!!!
 

badala ya kutafuta mke we unatafuta mahips.mahips mengine hayo....haya kila la kheri
 
then unaweza kuta huyo jamaa nae pesa hana ,sura kama yangu anataka demu kama malaika utamtoa wapi

Hatuwezi kupata watu wakamilifu kwenye kila idara...lazma kutakuwa na utofauti cha msingi watu wanapendane kwa dhati.
 
uzuri wa mwanamke siyo urembo ni tabia aaa....naimba tu...
 
Usimpotezee muda wake. Endelea kutafuta mwenye hips. Kwa kuwa unapenda hips ukimuoa utakuwa una chepuka kila mara.

Ingawa ukikua utagundua kua mke ni zaidi ya umbo la nje.

nachukiaga sana hili neno la kudai kua eti kumpotezea muda'...labda unamaanisha nini?
 
Moyo wa mtu kweli kichaka...yaani wakati binti akijihesabia kapata, mwenzake ndo kwaaaanza anatafuta ushauri wa kumuacha. Mbaya sana hii.... Kina dada hebu jitahidini kuzibana hizo papuchi na kutoruhusu kila mwanamme kujiwekea alama katika k zenu
 
sasa kwanini hua mnajiremba?

urembo ni ziada tu.....tunajiremba kama ziada tu lakini siyo kitu cha muhimu sana kiasi kwamba mwanamke akikikosa basi anakuwa hafai......
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…