baada ya kulemewa na athari za uropokaji wa viongozi wapya, ati sasa ndio mnajua kua chadema kuna kasoro na changamoto za hapa na pale π€£Pamoja na kasoro za hapa na pale ( ambazo si tatizo),kwakuwa hakuna mahali panakosa changamoto, bado CHADEMA ni nyumba bora na salaam zaidi kwa makuzi ya kisiasa na mahali pa kuonesha kwa uhuru vipawa vya uongozi na vipaji vya siasa bila kuingiliwa, kuwekewa mipaka na kupangiwa
Ndio maana cream bora kabisa ya vijana walio na wanaotikisa uwanja wa siasa kwa maono hoja mipangalio na upembuzi yakinifu wametoka CHADEMA
Nje ya CDM kuna mipaka mingi sana iwe ccm ama chama kingine chochote cha siasa.. Ndio maana ndani ya CDM watu hujiachia na wana furaha sana.. Na hata wale wanaokengeuka hurekebishwa kwa hekima, heshima na kwa kufuata taratibu halali za chama na si maelekezo ya mkubwa mmoja
Wengi wameingizwa kingi na kuikimbia CDM lakini waliyo na wanayokutana nayo huko ni msiba mkubwa sana. Walikubali kutema bazoka tamu kwa karanga za kuonjeshwa
Huko walikokimbilia hawana amani
Huko walikokimbilia hawana furaha
Huko walikokimbilia ni wahamiaji kwenye miji ya watu.. Wana taratibu zao.. Huwezi kuwaingilia wala kuwapangia.. Unaishi kinyonge
Huko walikokimbilia ni mateka wanaoishi kwa maelekezo tena sometimes ya simu na msg wasizojua wametumiwa na nani
Huwezi kuongea bila ruhusa
Huwezi kukutana na watu fulani bila kibali
Huwezi kufanya lolote bila kwanza kuuliza na jibu utakalopewq ndio final.. Hakuna kuhoji
Unaishi kama mateka kimwili na hoja zako zinakuwa zimezuiliwa kwenye gereza la fikra! Huna uhuru wa kuamua hata mambo binafsi
Unaishi kwa mashaka kwa hofu ya kufuatiliwa.. Maana unakuwa ushapewa warning.. Hata mawasiliano yako unakosa uhuru nayo
Hapa mapesa uliyoingiziwa kwenye account huna uhuru wa kuyatumia utakavyo na mwisho yanayeyuka na kupoteaπ .. Huwezi kwenda hata police kulalamika .. Na ukiwa na uthubutu wa kufuatilia unaweza kupewa majibu ya kifedhuli mpaka ukajiona takataka
Wanaotamani kurudi nyumba ya upendo na uhuru wa fikra ni wengi.. Lakini
Wengine wanaona haya
Wengine walishaharibu sana
Wengine wameshakula vya watu na kuvilipa hawana uwezo.
Sababu ni nyingi sana!
Tuwaombea sana maana wako mateka utumwani
Nyie sasa ndiyo mnawatamani ndiyo maana mnawajadili. Ukiachika, ACHIKA endelea na hao ulionao.Pamoja na kasoro za hapa na pale ( ambazo si tatizo),kwakuwa hakuna mahali panakosa changamoto, bado CHADEMA ni nyumba bora na salaam zaidi kwa makuzi ya kisiasa na mahali pa kuonesha kwa uhuru vipawa vya uongozi na vipaji vya siasa bila kuingiliwa, kuwekewa mipaka na kupangiwa
Ndio maana cream bora kabisa ya vijana walio na wanaotikisa uwanja wa siasa kwa maono hoja mipangalio na upembuzi yakinifu wametoka CHADEMA
Nje ya CDM kuna mipaka mingi sana iwe ccm ama chama kingine chochote cha siasa.. Ndio maana ndani ya CDM watu hujiachia na wana furaha sana.. Na hata wale wanaokengeuka hurekebishwa kwa hekima, heshima na kwa kufuata taratibu halali za chama na si maelekezo ya mkubwa mmoja
Wengi wameingizwa kingi na kuikimbia CDM lakini waliyo na wanayokutana nayo huko ni msiba mkubwa sana. Walikubali kutema bazoka tamu kwa karanga za kuonjeshwa
Huko walikokimbilia hawana amani
Huko walikokimbilia hawana furaha
Huko walikokimbilia ni wahamiaji kwenye miji ya watu.. Wana taratibu zao.. Huwezi kuwaingilia wala kuwapangia.. Unaishi kinyonge
Huko walikokimbilia ni mateka wanaoishi kwa maelekezo tena sometimes ya simu na msg wasizojua wametumiwa na nani
Huwezi kuongea bila ruhusa
Huwezi kukutana na watu fulani bila kibali
Huwezi kufanya lolote bila kwanza kuuliza na jibu utakalopewq ndio final.. Hakuna kuhoji
Unaishi kama mateka kimwili na hoja zako zinakuwa zimezuiliwa kwenye gereza la fikra! Huna uhuru wa kuamua hata mambo binafsi
Unaishi kwa mashaka kwa hofu ya kufuatiliwa.. Maana unakuwa ushapewa warning.. Hata mawasiliano yako unakosa uhuru nayo
Hapa mapesa uliyoingiziwa kwenye account huna uhuru wa kuyatumia utakavyo na mwisho yanayeyuka na kupoteaπ .. Huwezi kwenda hata police kulalamika .. Na ukiwa na uthubutu wa kufuatilia unaweza kupewa majibu ya kifedhuli mpaka ukajiona takataka
Wanaotamani kurudi nyumba ya upendo na uhuru wa fikra ni wengi.. Lakini
Wengine wanaona haya
Wengine walishaharibu sana
Wengine wameshakula vya watu na kuvilipa hawana uwezo.
Sababu ni nyingi sana!
Tuwaombea sana maana wako mateka utumwani
Pamoja na kasoro za hapa na pale ( ambazo si tatizo),kwakuwa hakuna mahali panakosa changamoto, bado CHADEMA ni nyumba bora na salaam zaidi kwa makuzi ya kisiasa na mahali pa kuonesha kwa uhuru vipawa vya uongozi na vipaji vya siasa bila kuingiliwa, kuwekewa mipaka na kupangiwa
Ndio maana cream bora kabisa ya vijana walio na wanaotikisa uwanja wa siasa kwa maono hoja mipangalio na upembuzi yakinifu wametoka CHADEMA
Nje ya CDM kuna mipaka mingi sana iwe ccm ama chama kingine chochote cha siasa.. Ndio maana ndani ya CDM watu hujiachia na wana furaha sana.. Na hata wale wanaokengeuka hurekebishwa kwa hekima, heshima na kwa kufuata taratibu halali za chama na si maelekezo ya mkubwa mmoja
Wengi wameingizwa kingi na kuikimbia CDM lakini waliyo na wanayokutana nayo huko ni msiba mkubwa sana. Walikubali kutema bazoka tamu kwa karanga za kuonjeshwa
Huko walikokimbilia hawana amani
Huko walikokimbilia hawana furaha
Huko walikokimbilia ni wahamiaji kwenye miji ya watu.. Wana taratibu zao.. Huwezi kuwaingilia wala kuwapangia.. Unaishi kinyonge
Huko walikokimbilia ni mateka wanaoishi kwa maelekezo tena sometimes ya simu na msg wasizojua wametumiwa na nani
Huwezi kuongea bila ruhusa
Huwezi kukutana na watu fulani bila kibali
Huwezi kufanya lolote bila kwanza kuuliza na jibu utakalopewq ndio final.. Hakuna kuhoji
Unaishi kama mateka kimwili na hoja zako zinakuwa zimezuiliwa kwenye gereza la fikra! Huna uhuru wa kuamua hata mambo binafsi
Unaishi kwa mashaka kwa hofu ya kufuatiliwa.. Maana unakuwa ushapewa warning.. Hata mawasiliano yako unakosa uhuru nayo
Hapa mapesa uliyoingiziwa kwenye account huna uhuru wa kuyatumia utakavyo na mwisho yanayeyuka na kupoteaπ .. Huwezi kwenda hata police kulalamika .. Na ukiwa na uthubutu wa kufuatilia unaweza kupewa majibu ya kifedhuli mpaka ukajiona takataka
Wanaotamani kurudi nyumba ya upendo na uhuru wa fikra ni wengi.. Lakini
Wengine wanaona haya
Wengine walishaharibu sana
Wengine wameshakula vya watu na kuvilipa hawana uwezo.
Sababu ni nyingi sana!
Tuwaombea sana maana wako mateka utumwani
Kumbe hata wewe hukuelewa nilichoandikaπππNyie sasa ndiyo mnawatamani ndiyo maana mnawajadili. Ukiachika, ACHIKA endelea na hao ulionao.
Eti wanatamani kurudi, wewe ni nani ujuwe kiluchopo mioyoni mwao??
Watamani kurudi kwenye chama ambacho hakitasimamisha wagombea uchaguzi wa Oktoba 2025?
Sometimes huwa nina mashaka makubwa na uelewa wako kwenye mambo mengi.. Kuna tofauti ndogo sana kati yako na johnthebaptist na Lucasbaada ya kulemewa na athari za uropokaji wa viongozi wapya, ati sasa ndio mnajua kua chadema kuna kasoro na changamoto za hapa na pale π€£
kukosa maono ni kitu mbaya sana kwa uongozi wa taasisi.
ndio maana kwa biblia kuna mahali panasema watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa.
Chadema inateketea kwa kukosa maarifa na kuupa uropokaji kipaumbele π
Kujipa akili ya mbuni ya kuzika kichwa chini ili asionekane ni aina ya kipaji piaCCM haiwez kuwalipa wale vilaka. CCM vazi lake haihitaji vilaka weak Kama hivyo vinavyobanduka Chadema, Yan mtu hata kujitambulisha anajiuma uma Sasa ataweza kubishana jukwaani ipasavyo huyo ?
Kushindwa kwa Chadema kutunza wanachama wake kunaonyesha ni kias gan Chadema ni dhaif.
Kaeni Chini mjitafakari na kuziba mule mnamovuja upumbavu na utoto wa kuinyoshea CCM vidole kindezi Ndezi haukutibu kwa CUF Wala kwa TLP.
simameni imara, ziba panapovuja songeni mbele na agenda zenu mkiwa Kama watu mnaojielewa kwa umoja.
Lawama za Mambo ya chumbani huwezi kuwapelekea jirani shekh. Kaa sawa na mkeo.
na hayo mashaka ndio yanafanya chama chako kuteketea na kupukutika kwanza ndio hatimae baada ya kuathirika sana kwa kushupaza shingo kwa ubishi eti ndio unagundua kuna kasoro na changamoto ndogo ndogoπ€£Sometimes huwa nina mashaka makubwa na uelewa wako kwenye mambo mengi.. Kuna tofauti ndogo sana kati yako na johnthebaptist na Lucas
Kujipa akili ya mbuni ya kuzika kichwa chini ili asionekane ni aina ya kipaji pia
Hawa G55walikosea sana kuondoka. Tukiangalia kama Assenga alitumia nguvu nyingi kujijenga kisiasa mwisho wa siku anajipiga kitanzi mwenyewe kwa ajili ya mlo wa siku moja.Niliwahi Kusema apa, Platform ya Chadema bado ni Nzuri sana kwa Vijana ambao bado wana Political Mileage Kubwa, Kwasababu CCM ni jabari ndio imeshika Dolla we muangalie mtu kama Msigwa Hana Influence yoyote kwa CCM leo kina Mrema na Kigaila ndio wawe na Influence hio hapana hao wamekuwa paid Ili Kuleta Political turbulence ila there after watakuwa Dumped uko, Hakuna mtu anawataka CCM
Au siyo? πππππPamoja na kasoro za hapa na pale ( ambazo si tatizo),kwakuwa hakuna mahali panakosa changamoto, bado CHADEMA ni nyumba bora na salaam zaidi kwa makuzi ya kisiasa na mahali pa kuonesha kwa uhuru vipawa vya uongozi na vipaji vya siasa bila kuingiliwa, kuwekewa mipaka na kupangiwa
Ndio maana cream bora kabisa ya vijana walio na wanaotikisa uwanja wa siasa kwa maono hoja mipangalio na upembuzi yakinifu wametoka CHADEMA
Nje ya CDM kuna mipaka mingi sana iwe ccm ama chama kingine chochote cha siasa.. Ndio maana ndani ya CDM watu hujiachia na wana furaha sana.. Na hata wale wanaokengeuka hurekebishwa kwa hekima, heshima na kwa kufuata taratibu halali za chama na si maelekezo ya mkubwa mmoja
Wengi wameingizwa kingi na kuikimbia CDM lakini waliyo na wanayokutana nayo huko ni msiba mkubwa sana. Walikubali kutema bazoka tamu kwa karanga za kuonjeshwa
Huko walikokimbilia hawana amani
Huko walikokimbilia hawana furaha
Huko walikokimbilia ni wahamiaji kwenye miji ya watu.. Wana taratibu zao.. Huwezi kuwaingilia wala kuwapangia.. Unaishi kinyonge
Huko walikokimbilia ni mateka wanaoishi kwa maelekezo tena sometimes ya simu na msg wasizojua wametumiwa na nani
Huwezi kuongea bila ruhusa
Huwezi kukutana na watu fulani bila kibali
Huwezi kufanya lolote bila kwanza kuuliza na jibu utakalopewq ndio final.. Hakuna kuhoji
Unaishi kama mateka kimwili na hoja zako zinakuwa zimezuiliwa kwenye gereza la fikra! Huna uhuru wa kuamua hata mambo binafsi
Unaishi kwa mashaka kwa hofu ya kufuatiliwa.. Maana unakuwa ushapewa warning.. Hata mawasiliano yako unakosa uhuru nayo
Hapa mapesa uliyoingiziwa kwenye account huna uhuru wa kuyatumia utakavyo na mwisho yanayeyuka na kupoteaπ .. Huwezi kwenda hata police kulalamika .. Na ukiwa na uthubutu wa kufuatilia unaweza kupewa majibu ya kifedhuli mpaka ukajiona takataka
Wanaotamani kurudi nyumba ya upendo na uhuru wa fikra ni wengi.. Lakini
Wengine wanaona haya
Wengine walishaharibu sana
Wengine wameshakula vya watu na kuvilipa hawana uwezo.
Sababu ni nyingi sana!
Tuwaombea sana maana wako mateka utumwani
Au siyo? πππππ
View: https://www.instagram.com/reel/DJzjti4pMuH/?igsh=MWs4dDJheWF5OWpnYQ==
Sasa hapa nimemlaumu nani? Pengine hujui maana halisi ya neno LAWAMA na matumizi yake kwa ujumlaKushika mguu wakat maumiv yapo kichwani ni upuuzi vilevile ...
CHADEMA ikae vizur na watu wake, Chadema ihakikishe inatunza mtaji wa watu ilonao wakati ikiendelea na mapambano.
Lawama haitawahi weza kuifikisha Chadema popote pale.
Ikiwa mnalalamika kuwa mbowe nae kanunuliwa bas kesho mtalalamika juu ya TAL au Heche. ...
Bila kuziba panapovuja hamfiki popote mtazama tu.
Kama hii ndio think tank ya chama chawala basi ndio maana mmetufikisha hapa tulipo! What a waste.. My dear Tanganyikaπππna hayo mashaka ndio yanafanya chama chako kuteketea na kupukutika kwanza ndio hatimae baada ya kuathirika sana kwa kushupaza shingo kwa ubishi eti ndio unagundua kuna kasoro na changamoto ndogo ndogoπ€£
uongozi haihitaji uropokaji gentleman. Uongozi ni maono, uongozi ni kipawa sio kufokafoka bila mpangilio na kuomba omba kuchangiwa pesa π€£