Ni wazi sasa, bila serikali CCM imekufa!

Ni wazi sasa, bila serikali CCM imekufa!

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2014
Posts
17,547
Reaction score
28,494
Kwa mtaji wa matukio ya vifo vilivyotokea, utekaji wa wananchi na mambo mengine yasiyo ya kistaarabu, CCM imekuwa kimya na haina ubavu wa kukemea hayo.
Uchaguzi wenye mashaka nao hakuna mwana CCM anaweza kuweka kifua mbele kuwa ameshinda.

Hapa inaelekea ni serikali ilikuwa inajipigia debe, inateka na kuzima wamanchi.
CCM kwa sasa si chama chenye ushawishi unaoeleweka.

NB
Kuna yule wa CCM/Serikali Faris Burhan, kule Kagera, aliyesema tukimkamata mtu anayetusi viongozi Polisi msimtafute- kwa maana watampoteza.
Hilo lilikuwa tamko la CCM/Serikali na yaliyotokea tumeyaona.

View: https://www.youtube.com/watch?v=7-SSHMK94U0
 
Kwa mtaji wa matukio ya vifo vilivyotokea, utekaji wa wananchi na mambo mengine yasiyo ya kistaarabu, CCM imekuwa kimya na haina ubavu wa kukemea hayo.
Uchaguzi wenye mashaka nao hakuna mwana CCM anaweza kuweka kifua mbele kuwa ameshinda.

Hapa inaelekea ni serikali ilikuwa inajipigia debe, inateka na kuzima wamanchi.
CCM kwa sasa si chama chenye ushawishi unaoeleweka.
Nadhani kichwa kisomeke,...bila vyombo vya dola....
 
Hebu nisaidie hapo, unaitenganisha vp ccm na serikali? Maana wafanya maamuzi ya chama ndio hao hao wafanya maamuzi ya serikali.
 
Urais kwetu ni taasisi inayocjaguliwa na mfumo sisi niwawakilishi lakini kwenye maanuzi hatumo
 
Na ilijipigia kura na kujitangaza mshindi na kujiapisha...serikali ni watu ila watu sio serikali
Chama-serikali kinajinadi, kinaondoa wapinzani wote, kinafunga wakosoaji, ni mwisho kinajichagua.
 
Back
Top Bottom