OPTIMUS TZ
JF-Expert Member
- Jan 30, 2012
- 391
- 65
Katika viongozi waliopo sasa hapa nchini kwetu haijalishi ametokea chama gani, wafuatao ndio wanaofaa kuwa rais mwaka 2015:
1. Edward Lowassa
2. John Magufuli
3. Dr. Slaa.
Wengine ni porojo tu.
1. Wote hawa ni wachapa kazi
2. Wote hawa wanamsimamo.
3. Wote hawa wana vision na nchi
4. Wote hawa wanamaamuzi magumu kwa maendeleo ya nchi.
5. Wote hawa wakotayari kusimamia sheria kwa watendaji
na vigezo vingine vingi tu.
Katika viongozi waliopo sasa hapa nchini kwetu haijalishi ametokea chama gani, wafuatao ndio wanaofaa kuwa rais mwaka 2015:
1. Edward Lowassa
2. John Magufuli
3. Dr. Slaa.
Wengine ni porojo tu.
Kwa hali ilivyo sasa ndani ya nchi yetu EL anaweza kuchaguliwa na chama chake kwa sababu wengi wao wamekosa uzalendo na wamekuwa ni wanaotumikia matumbo yao kila kukicha. Hatushangai kwa wanaojitokeza kumshabikia kwani hata ndani ya chama chao wapo wengi tu wanaoamini kuwa ndio chaguo la maana. Ila nawasihi watanzania kuwa tutakuja juta na kusaga meno kama chama chake kitamfanya kuwa mgombea wake na kwa kutumia mamlaka ya vyombo vya kiserikali akawa raisi wetu.
Sijui watanzania tunahitaji nini kuona kuwa mtu huyu ni hatari kwa mustakabali wa maisha na maslahi ya walio wengi. Kwani kama amekuwa akituhumiwa kuwa si msafi, ni fisadi ndani na nje ya chama, ni kipi kinachowafanya mshindwe kuelewa mpaks kila siku mnatupigia kelele na huyu mtu? Hivi katika watz wote zaidi milioni 40 hakuna mwengine zaidi ya EL? :A S angry:

Nyerere sio mungu forget about him.toa jina moja nyerere alilipigia kelele sana
Katika viongozi waliopo sasa hapa nchini kwetu haijalishi ametokea chama gani, wafuatao ndio wanaofaa kuwa rais mwaka 2015:
1. Edward Lowassa
2. John Magufuli
3. Dr. Slaa.
Wengine ni porojo tu.
hawa wawili yaani Lowassa na Magufuli wamekuwa kwenye hii serikali ya CCM kwa nyakati tofauti wakibeba maamuzi mazito -- tujadili nini ni walifanya / wamefanya hadi tufikie hatua hii ya kuona wanafaa kabisa kuongoza nchi yetu.1. Wote hawa ni wachapa kazi
2. Wote hawa wanamsimamo.
3. Wote hawa wana vision na nchi
4. Wote hawa wanamaamuzi magumu kwa maendeleo ya nchi.
5. Wote hawa wakotayari kusimamia sheria kwa watendaji
na vigezo vingine vingi tu.
Nyerere sio mungu forget about him.
Ndio uhuru wa kuabudu endelea kuwa muumini wa mtume Nyerere,ni wendawazimu kuamini kila alilosema Nyerere lilikuwa sahihi au leo taifa la Tanzania haliwezi kwenda bila yeye.Nani kasema Mungu??? Ila kwa taarifa yako wengi wanamuamini hadi sasa.....na itachukua muda mrefu watu kumsahau...
Ondoa namba 3, weka ZITTO ZUBERI KABWE. Babu amebakiza siasa za kukashfu tu hana tena sera huyo.
Si kweli mkuu ni mchapa kazi na mfuatiliaji nzuri wa taratibu na
Hapo kwenye red huyu mtu ni hatari kwa visasi hafai kuwa na maamuzi ya mwisho juu ya mustakabali wa nchi kwa kuwa atakayetofautiana naye kwa mtizamao anaweza kuishia jela kama Dk Slaa hatakuwepo ni bora hata ya Lowasa na ufisadi wake kuliko Magufuli