Ni wapi wanatoa mafunzo ya Martial Arts?

Kwa hali hii...changamoto pekee ni kujiandaa kisaikolojia kwamba unaenda kujifunza kitu kwa kipindi kinachotakiwa na mazingira ya huku kwetu kwa maana ya muda na nafasi!!!


madojo mengi huwa yanazingatia muda wa kazi, mfano-: kwa siku za kazi, mazoezi huanza sakumi jioni hadi saa mbili usiku, na siku za weekend ratiba hugeuka na kuwa saa mbili asubuhi hadi saa tano!!!
hapo unagundua kuwa karate ni upande wa maisha.
 
ok mkuu maelezo yako ni inaonyesha wewe mwenyewe hii michezo huwa unaicheza vizuri umenikumbusha majamaa zangu ambao tunafanyaga nao zoezi kwa mupitia zoezi wale jamaa akili zao zipo trong sana kama wewe huwa nawakubali sana watu ambao wanacheza hiyo nichezo
 
Huku Mbeya city ni eneo gani kuna dojo la uhakika wakuu?
 
Nipo kawe naomba namba ya mtu wa huku
 
General physical exercise na krav maga ndio mpango mzima kwa ajili ya kujilinda mwenyewe hayo mengine nawaachia nyie mnao taka kuwa maprofeshno
Hiyo krav maga ndio ikoje mkuu?
 
I did shotokan for 3 good years kwa sempai Gilbert manzese, mpaka leo siwezi acha ku practise. Inafundisha discipline ya hali ya juu sana. All in all style zote nzuri. Chagua ambayo itakuwa karibu na wewe.

yule wa manzese ni sensei GILBERT MWALUKO na sio senpai kama usemavyo wewe!
 
yes jangoo ni karateka mzuri sana na ni shotokan anacheza yule
Huyo yahya mgeni hatari

Kwa yeyote anayetaka kujifundisha karate namshauri aende kwa yahya mgeni hakika ataiva,huyu mzee anafuata principles zote na atahakikisha unatoka vzr,hupandi rank mpk uwe vzr

Dah master wangu kitambo ,najuta niliacha kwenda kwake ,

Ubungo Islamic,kiwalani anafundisha
 
Usi dhihaki dini za watu na wala usishabikie udhalilishaji wa imani za watu utaleta mgawanyiko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…