Papa Mopao
JF-Expert Member
- Oct 7, 2009
- 4,166
- 2,670
- Thread starter
-
- #41
changamoto kubwa inayowakumba wengi ni pale kwa wanaoanza kujifunza hasa hutokea anapokuwa kajua kurusha ngumi, teke na blocks, basi hujiona kama hakuna MBABE tena zaidi yake!! kingine changamoto za UVUMILIVU, unaweza kwenda wiki nzima unafundishwa teke moja, wakati anajua atafundishwa kama Jackie Chan, Wiki Tu Ameiva!! Wengi huacha kwa kuona kama anapoteza muda, Kumbe wanakosa uvumilivu!!

Mkuu hakuna ukomo wa umri unaoshauriwa kuanza mafunzo ya hii kitu? (Kwamba labda baada ya umri fulani haishauriwi kuanza kujifunza)
Kama kuna Sensei yeyote Kinyerezi naomba kujulishwa, maana nimechoka kuonewa...
Mkuu hakuna ukomo wa umri unaoshauriwa kuanza mafunzo ya hii kitu? (Kwamba labda baada ya umri fulani haishauriwi kuanza kujifunza)
Hivi nani kwa Dar anatoa mafunzo haya in house.
Maana wapo watu wanauwezi wa kulipia watu kwenda kuwafundihsa watu nyumbani kama ilivyo Tuitions.
My point ni kwamba,target kwa watoto wa Age of 7 - 12,ambao mtu anataka wafundishwe nyumbani.
Kwa anaejua charges zake au mfumo upoje atujuze,maana wap watu majumbani mwao wana space ya kutosha na kisasa na mpaka gyms.Ila watu wa kwuafundisha mchezo huo ndio sheeda for inhouse training
Mtafute huyu jamaa Sempai Gola, 0713386628 anaijua michezo yote hyo
Huyu jamaa ni noma nimesoma shule ya msingi na alianza michezo hiyo toka shuleni miaka ya 95.Huyu mpaka ubalozi wa China wanamjua na anaenda China kama anaenda kinondoni.Na serikali ya China wamempa cheti cha kumtambua.
nenda manzese tiptop, muulizie sensei jango!
nenda tanganyika pakers kawe, muulizie sensei chikoko!
nenda ubungo islamic high school, muulizie sense yahaya mgeni!
njoo jamii forum, ni PM
kama upo DAR, Nenda kawe-TANGANYIKA PAKERS Mtafute Sensei CHIKOKO.... anavyo hadi vya 1980s
yes jangoo ni karateka mzuri sana na ni shotokan anacheza yule
hazitokusaidia wanaojua ni masikini sana wanaishia kukaa magetini na kutengeneza nakozzz tafuta pesa ,pesa ndo nzuri kwa self defence
aisee chuku mi ni karateka na nnashida sana nondo/vitabu niko mbali na dar nipo shy
hapa cjui nifanyeje mkuu
wakati nipo markaz Tanga nilikuwa najifunza ..... itabidi nianze upya
Hebu taja vituo vilivyopo Dar wanavyotoa hayo mafunzo.