Papa Mopao
JF-Expert Member
- Oct 7, 2009
- 4,166
- 2,670
Kawe, Mbezi, Mbagala, Kisutu, Don Bosco, n.k, inategemea ni staili gani ya sanaa ya mapigano na gharama pia
Nenda Manzese Tiptop, muulizie Sensei Jango!
Nenda Tanganyika Pakers Kawe, muulizie Sensei Chikoko!
Nenda Ubungo Islamic High School, muulizie Sensei Yahaya Mgeni!
Njoo JamiiForums, ni PM
Kama upo Dar, nenda Kawe - Tanganyika Pakers Mtafute Sensei Chikoko
Hapo juu kuna Documentary inahusiana na haya mambo inaitwa "Documentary | Awesome Chinese Martial Arts"
Ni pazuri kwa kupata picha halisi juu ya Martial Arts yenyewe kwa yule ambaye hafahamu chochote kuhusiana na martial arts.
Mi mwenyewe tokea nilivyoitazama, nimepata moyo kweli wa kujifunza!
unapatikana wapi ili nikutajie mahala karibu?
Hebu taja vituo vilivyopo Dar wanavyotoa hayo mafunzo.
kawe, mbezi, mbagala, kisutu, donbosco, n.k inategemea ni staili gani ya sanaa ya mapigano na gharama piaHebu taja vituo vilivyopo Dar wanavyotoa hayo mafunzo.
kawe, mbezi, mbagala, kisutu, donbosco, n.k inategemea ni staili gani ya sanaa ya mapigano na gharama pia
serikali ya china ilikua inatafuta vijana wanne wasomeshwe china mwaka mmoja,ila deadline ilikuwa mwezi juneKuna sehemu wanatoa haya mafunzo?
Style gani nzuri mkuu!? Mimi nataka Systema au Combat Karate.
Mkuu kimsingi hakuna staili inayoitwa "combat karate"...ile wanayofundishwa jeshini ni baadhi tu ya mafunzo ya staili fulani. Yaweza kuwa shotokan au goju ryu pamoja na vitu vichache vya aikido au jiujitsu.
Pili hakuna sanaa ya mapigano ambayo ni bora zaidi ya nyingine. Msanii ndio huwa bora. Ni kama sanaa ya muziki. Haijalishi unaimba muziki gani, wewe kama msanii ndio waweza kusababisha muziki wako kupendwa au kuchukiwa.
Nitatoa mfano wa wasanii wa sanaa ya mapigano walio shawishi watu kujifunza baadhi ya sanaa zao:
Jackie Chan-Kungfu(Drunken & Snake)
Bruce Lee-Jeet Kune Do
Jet Lee-Wushu
Van Damme-Shotokan Karate
Tony Jaa-Muai Thai & Tae Kwon do
Scott Adkin(Boyka)-Kick Boxing&Tae kwon do
Shoku Sugi-Ninjitsu
Steven Seagal-Aikido
Donie Yen-Judo,Wushu & Wing chun
Hao ni baadhi tu. Leo hii kuna maelfu ya watu wanaojifunza hizo sanaa kwa ushawishi wa hao watu.
Kwa hiyo haijalishi utajifunza sanaa gani ila wakati wote kumbuka kuwa,'Sanaa haimfanyi mtu bali mtu ndiye huifanya Sanaa'.
Kila lakheri.
donnie kajifunzza style nyingi san. hadi boxing, mieleka na zile za kibrazil.Hii ya Donie Yen-Judo,Wushu & Wing chun, naikubali sanaaa tu.......nimekuwa nikimwangalia hasa ile movie ya IP-Man 1&2 na Kung.Fu.Jungle.(2014)