Tanganyika haikufa bali ili-evolve na kuwa Tanzania.Muungano umekufa ilipokufa tanganyika.

wewe mpaka Leo umetembea na wanaume wasio wako wangapi?subiri siku haya majani yaliyokauka yakiangukiwa na kaa la moto.utashangaa hao viongozi wako wakichomwa visu kwa visa vya kupora wake za watu.hata hivyo nisamehe kwa kujibu huu upuuzi wako na ccm yakoNimeuliza maswali mawwili myepesi sana, naona unakuja kuhororoja na kubwabwaja bila mpango.
Hata kupora mke wa mtu ni ufisadi tena wa maadili kabisa ambao ni ufisadi mbaya kuliko ukoma.
Nimeuliza maswali mawwili myepesi sana, naona unakuja kuhororoja na kubwabwaja bila mpango.
Hata kupora mke wa mtu ni ufisadi tena wa maadili kabisa ambao ni ufisadi mbaya kuliko ukoma.
wewe mpaka Leo umetembea na wanaume wasio wako wangapi?subiri siku haya majani yaliyokauka yakiangukiwa na kaa la moto.utashangaa hao viongozi wako wakichomwa visu kwa visa vya kupora wake za watu.hata hivyo nisamehe kwa kujibu huu upuuzi wako na ccm yako
Nilikuwa najaribu Kufanya uchunguzi mdogo, kuona na eneo gani ambapo serikali yetu iliyo chini ya chama tawàla CCM. Kwa HAKIKA nimeshindwa kuona ni eneo gani ambapo serikali imemudu kufanya vizuri kabisa.
Hebu jaribu kuangalia maeneo yafuatayo( kama mifano tu)
1. Elimu: Shule za serikali ni matatizo makubwa.
2. Afya: Hospitali za serikali ni shida kubwa kuliko kawaida.
3.Usafirishaji: Barabara ni ajali kila kukicha. Bandarini ni malalamiko ya ubovu wa miundo mbinu, rushwa n.k. Usafiri wa ndege ( ATC) ni taabani, Uwanja wa ndege Dsm, mbovu, rushwa n.k.
4. Utumishi: Watumishi wa serikali kila siku ni malalamiko ya hali duni ya maisha, yanayosabàbisha utendaji mbovu ktk ofisi za serikali.
5. Kilimo: Hakuna miundombinu rafiki kwa wakulima. Wakulima wamekuwa yatima!
6. Posta na Simu: Chali !! Hakuna kinachoendelea huko!
Jamani, ivi ni sehemu gani ambapo serikali imefanya angalau kutufanya wananchi (wapigakura) tujivunie?? Au ni Intelligencia ya polisi PEKEE ndo iko vizuri? Inawezekana ...!!
Wana JF nisaidieni kunikumbusha basi. Kama sivyo nini kifanyike ili angalau tuwe na eneo moja la kujivunia??
Emh tupe mfano wa serikali iliyofikia hiyo 100% na utuambie kwanini bado ipo madarakan!
Nimependa hoja yako, ni hoja ya msingi sana!
Ninachokisana ni kuwa serikali yetu kimsingi hakuna eneo ambako imefanikiwa Kwa 100%. Baadhi ya serikali zimefanikiwa ktk vipaumbele vyao, mfano jirani zetu Rwanda wamefanikiwa ktk ujenzi Wa nyumba bora(za bati) sasa je Tz tumefanikiwa ktk nn hasa?
Mimi na wewe sote ni Watanzania je tunaweza kusemaje juu ya nchi yetu???
Nilikuwa najaribu Kufanya uchunguzi mdogo, kuona na eneo gani ambapo serikali yetu iliyo chini ya chama tawàla CCM. Kwa HAKIKA nimeshindwa kuona ni eneo gani ambapo serikali imemudu kufanya vizuri kabisa.
Hebu jaribu kuangalia maeneo yafuatayo( kama mifano tu)
1. Elimu: Shule za serikali ni matatizo makubwa.
2. Afya: Hospitali za serikali ni shida kubwa kuliko kawaida.
3.Usafirishaji: Barabara ni ajali kila kukicha. Bandarini ni malalamiko ya ubovu wa miundo mbinu, rushwa n.k. Usafiri wa ndege ( ATC) ni taabani, Uwanja wa ndege Dsm, mbovu, rushwa n.k.
4. Utumishi: Watumishi wa serikali kila siku ni malalamiko ya hali duni ya maisha, yanayosabàbisha utendaji mbovu ktk ofisi za serikali.
5. Kilimo: Hakuna miundombinu rafiki kwa wakulima. Wakulima wamekuwa yatima!
6. Posta na Simu: Chali !! Hakuna kinachoendelea huko!
Jamani, ivi ni sehemu gani ambapo serikali imefanya angalau kutufanya wananchi (wapigakura) tujivunie?? Au ni Intelligencia ya polisi PEKEE ndo iko vizuri? Inawezekana ...!!
Wana JF nisaidieni kunikumbusha basi. Kama sivyo nini kifanyike ili angalau tuwe na eneo moja la kujivunia??
Ikishafanikiwa 100% itakuwa na kazi ipi tena?
Wewe binafsi yako umeshafanikiwa 100%?

Kwenye sukari sasa wamefanikiwa kwa 100% maana Dili la sukari limekamatwa January kwa niaba ya majaliwa wanapiga pesa kimya kimya lengo lao la kuwanyima vibali wengi ili wapige Dili limefanikiwa kwa 100%Nilikuwa najaribu Kufanya uchunguzi mdogo, kuona na eneo gani ambapo serikali yetu iliyo chini ya chama tawàla CCM. Kwa HAKIKA nimeshindwa kuona ni eneo gani ambapo serikali imemudu kufanya vizuri kabisa.
Hebu jaribu kuangalia maeneo yafuatayo( kama mifano tu)
1. Elimu: Shule za serikali ni matatizo makubwa.
2. Afya: Hospitali za serikali ni shida kubwa kuliko kawaida.
3.Usafirishaji: Barabara ni ajali kila kukicha. Bandarini ni malalamiko ya ubovu wa miundo mbinu, rushwa n.k. Usafiri wa ndege ( ATC) ni taabani, Uwanja wa ndege Dsm, mbovu, rushwa n.k.
4. Utumishi: Watumishi wa serikali kila siku ni malalamiko ya hali duni ya maisha, yanayosabàbisha utendaji mbovu ktk ofisi za serikali.
5. Kilimo: Hakuna miundombinu rafiki kwa wakulima. Wakulima wamekuwa yatima!
6. Posta na Simu: Chali !! Hakuna kinachoendelea huko!
Jamani, ivi ni sehemu gani ambapo serikali imefanya angalau kutufanya wananchi (wapigakura) tujivunie?? Au ni Intelligencia ya polisi PEKEE ndo iko vizuri? Inawezekana ...!!
Wana JF nisaidieni kunikumbusha basi. Kama sivyo nini kifanyike ili angalau tuwe na eneo moja la kujivunia??
Hii ya awamu ya tano imefanikiwa kwa 100%! Kumlinda Mwakyembe juu ya ufisadi wa mabehewa chakavu, na sasa imefanikiwa kupiga Dili la sukari kwa 100%1. serikali ya mbinguni pekee ndio imefanikiwa kwa 100%
2. Ni ujuha kuuliza mafanikio ya 100% ndani ya miezi michache ya uongozi
3. Toa mfano wa serikali iliyofanikiwa kwa 100%
4. Jifunze kufikiri nje ya box. Vinginevyo nenda shule kijana
Mfano mmojawapo huu hapa imefanikiwa kuzuia vibali vya sukari na kupiga Dili yenyewe kwa 100%Mleta mada hebu tuelezee mafanikio yako binafsi kwa muhtasari.
Kuna Utulivu tu lakini Amani hakuna, Tanganyika ni Mkoloni wa Zanzibar hata jana Dr shein katumwa comoro kakalizwa kule nyuma kwenye mabenchi ya walinzi hakupewa heshima comoro hii inaleta Picha gani?Imefanikiwa Kwenye AMANI, UTULIVU, MSHIKAMANO na MUUNGANO wetu wa kupigiwa mfano Afrika nzima.
5.Kha! Wewe ni mgeni katika nchi hii? Mbona yako mengi tuu mengine mpaka asilimia 1000!
1. Rushwa
2. Umaskini
3. Mfumuko wa bei
4. Kuporomoka kwa thamani ya shilingi
Wapo busy na Dili la sukari wanajua mfungo wa Ramadhan unakuja huenda mahitaji ya sukari yakaongezeka zaidi wameamua kutumia kisingizio hicho kupiga Dili humohumo ccm ni ile ile.hii ndiyo sera ya ccm,Mimi kwanza wengine baadae-ufisadi ni matokeo ya sera hii,ndio maana si ajabu kuona wanaccm wakipiga bilioni 300 huku wakijua MSD imegoma kusambaza madawa kwa wadanganyika kwa deni la bilioni 90 tu maana wao wanatibiwa India,ujerumani,marekani na kwingineko.safi ccm ya leo