Ni wapi nitapata takwimu za wanafunzi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni wapi nitapata takwimu za wanafunzi?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Zamazamani, Mar 1, 2012.

 1. Z

  Zamazamani JF-Expert Member

  #1
  Mar 1, 2012
  Joined: Jun 13, 2008
  Messages: 1,624
  Likes Received: 339
  Trophy Points: 180
  Wadau
  Mimi ni mmoja wa wadau wa elimu ,kwa upande wa mafunzo ya ufundi stadi (namiliki chuo cha kompyuta focused on mid and low class societies only ) ,Kuna proposal ninaandika ili nipate financial support na niweze ku exapand huduma zangu...katika hiyo proposal kuna hitaji la takwimu za wanafunzi wanaomaliza,wanaofeli na wanaofaulu ( std VII - Form VI) , katika at least miaka mitatu iliyopita kwa ujumla wake....nimejaribu ku search kwenye mtandao sijapata taarifa za kutosha..nimejaribu kuwaandika barua NECTA sasa yapata miezi miwili na nusu hakuna jibu hata baada ya kufuatilia palepale physically hakuna jibu zaidi ya urasimu ..sasa nimekwamia hapo kwa zaidi ya miezi mitatu na naona matumaini yanafifia...kama kuna mdau anaweza kunisaidia kwa namna yeyote ile anakaribishwa na nitashukuru....
   
Loading...