Ni wapi nitapata mtu wa kuniingiza katika uchawi?

unataka ushirikiano wa nini kwani huwezi kudukua taarifa zake kichawi
Yeye anataka kudukuliwa taarifa zake au kurogwa? Uchawi ni maarifa na yana taratibu zake njia rahisi ni yeye kutoa ushirikiano ili kuweza kufanikisha hilo zoezi kama ambavyo hufanyika kwa wengine, kwa kutoa ushirikiano ni rahisi hata kwa asiyejua uchawi anaweza kuchukua taarifa hizo na kuzipeleka kwa mwenye ujuzi huo ili kufanikisha hilo zoezi.

Sasa kupata taarifa zake kwa njia ya kichawi katika mazingira hayo hilo ni zoezi lengine ambalo pengine mpaka apatikane mwenye ujuzi huo.
 
Usijieleze sana we mroge
 
Ni kweli aisee japo sio wote
 
Na mimi nahitaji huo msaada
 
Uko serious?
 
Naweza kukusaidia, sharti vitu viwili:
1) IQ > 500%
2) UJASIRI + UKATILI QUOTIENT > 500%
NB: 1 Hitler = U+U QUOTIENT of 1%
 
Kabila gani wewe? Mana kabila letu sisi bibi au babu akifa kuna ule mkoba wake anachaguliwa mtu wa kupewa
 
Dah
 
We jamaaaa hahahah

 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaaaa!! Hii kali eti tamaduni!!!
Ila jf kuna vituko ukiwa na stress zote zinaisha
 
Upo tayari mtoto wako mmoja kuwa Zombie?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…