Ni wapi nitajifunza Karate mkoani Dodoma?

Ni wapi nitajifunza Karate mkoani Dodoma?

Sometimes uwe na adabu basi sawa? Nitakuchenjia sasa hivi! Utawafanya Watu waamini kuwa na Mimi ni Mwana Area C wakati ukweli ni kwamba sihusiki nao kwa lolote au chochote na hizo Karate zenyewe huwa naziona tu kwa akina Bolo Yangu na wenzake.
Si useme kama "uliuza"(little joke)...! Mikwara yote ya nini...!? Siku hizi hunitishi....nishajua mitego yako zaidi ya asilimia 90! Zamani sawa nilikuwa nakuotea mbali hasa baada ya kuninasua kwenye mtengo ambao nilikuwa naelekea kukanyaga!
=====
Kama haujihusisha nao sawa. Mchana mwema, kumradhi!
 
Kilimani club mkuu ndo suruhu la tatizo lako kuna walimu professional Wa shotokan ulizia Vennace atakuweka sawa ukitoka hapo kama shokoguki mkuu.
kilimani club inapatikana maeneo gani mkuu?
 
Maeneo ya maili mbili na changombe, wewe uwe unapita usk, karate, judo na kong-fu utazijua tu bila hata chuo.
 
Back
Top Bottom