Ni wapi nitajifunza Karate mkoani Dodoma?

Ni wapi nitajifunza Karate mkoani Dodoma?

hao wanaopasha miili yao ni kick boxers sio karateka.
Samahani, naona hujanielewa pale kuna michezo mingi, kuna body builders, kuna karate, kuna volleyball, kuna dhumna pia kuna drafti. Hao watu wa kick boxers sijawahi kuwaona eneo hilo.
 
Unaweza ukawa na huo mwili wako kama nyumba na ukachapika vizuri tu.Karate of course ni sanaa ya ulinzi binafsi na sio kwenda kupigana na watu hovyo hovyo.Inakufunza discipline na heshima kwa kila mtu.Karate ina nguzo zake 6 ambazo humuongoza karateka katika maisha yake ya kisanaa
For more details utanitafuta nikupe darasa kuhusu MARTIAL ARTS

Mkuu kwann wacheza karate wengi wachafu wachafu mno,,wapo rough ,,,,,
 
Ni sehemu gani ndani ya mkoa wa Dodoma kuna 'dojo' nzuri kwa ajili ya mafunzo ya Shotokan Karate?

Msaada tafadhali..
Mkuu kuna sehemu umeyatinyanga nini na ukatishiwa kuwa utavurugwa au kuna mbabe mmoja amekurudi kwa hiyo wataka kurevange? Ila michezo ni dawa na afya lakini pia hawa panyaroad siku hizi hawana adabu hivyo ukiwa vizuri mbona wanakimbiana huku wanalia wenyewe!
 
Nenda NK uanzishe timbwili utaona watakavyokufunza
 
Achana na karate, Fanya mazoezi ya chuma full,piga na skwati uzito had wa kg 140 au Mia na 20__ kimbia ukipata muda pia,,, ni self defense tosha ambayo haitaji urushe ngumi kamwe wala hutochokozwa, kwa muonekano wako tu wa mwili wajinga wajinga watakurespect ukiwa viwanja, , Tatizo la karate unakuwa mgomvi mno,na sababu ya kuwa mgomvi kutokana wewe utajiamini kuwa upo fit utokubari MTU akudharau, na mpaka msera aje kujua kuwa were upo fit kimazoezi,either ushaumia au umemuumiza MTU,, wakati ukipiga chuma na skwati kwa Sana za kibabe,appearance yako tu ya mwili,inatosha MTU kukuhofia, ,,karate mwili unapwililika na unakuwa Kama skeleton ,
Hujui nidhamu wanayofunzwa wacheza karate ndugu yangu....mcheza karate hawezi kuwa mgomvi....na hakimbilii ugomvi kwa karate yake..mcheza karate anafunzwa kuepukana na ugomvi....kuhakikisha ugomvi baina yake hautokei....na ukitokea kuna mtu ataumia.
 
Mkuu kuna sehemu umeyatinyanga nini na ukatishiwa kuwa utavurugwa au kuna mbabe mmoja amekurudi kwa hiyo wataka kurevange? Ila michezo ni dawa na afya lakini pia hawa panyaroad siku hizi hawana adabu hivyo ukiwa vizuri mbona wanakimbiana huku wanalia wenyewe!
[emoji3]
 
Hujui nidhamu wanayofunzwa wacheza karate ndugu yangu....mcheza karate hawezi kuwa mgomvi....na hakimbilii ugomvi kwa karate yake..mcheza karate anafunzwa kuepukana na ugomvi....kuhakikisha ugomvi baina yake hautokei....na ukitokea kuna mtu ataumia.
Well said mkuu shukrani sana...Hiyo ndo karate
 
Ungekua moshi mkuu ningekuelekeza mahali ambapo nilipata black belt yangu dani ya 2
Oss! mkuu hongera
Samahani, naona hujanielewa pale kuna michezo mingi, kuna body builders, kuna karate, kuna volleyball, kuna dhumna pia kuna drafti. Hao watu wa kick boxers sijawahi kuwaona eneo hilo.
 
Nadhani GENTAMYCINE ana club yake pale maeneo ya Area C, wasiliana naye!

Sometimes uwe na adabu basi sawa? Nitakuchenjia sasa hivi! Utawafanya Watu waamini kuwa na Mimi ni Mwana Area C wakati ukweli ni kwamba sihusiki nao kwa lolote au chochote na hizo Karate zenyewe huwa naziona tu kwa akina Bolo Yangu na wenzake.
 
kuna form unaenda kuchukua unaijaza na kuirudisha then ndo unakua umepata acess ya kuanza mafunzo.
Bei ya form na ada ya miezi mitatu haizidi 20000...kama sikosei form ni 10000 afu 10000 ada ya miezi mitatu.
Ila ukienda utapata maelezo ya kutooshaa.
Hapo nimewahi kwenda nkaona wanarukaruka Tu nkaamsha..!
 
Back
Top Bottom