😂safi sana biashara ya hela iyo watu anakula mufe hatari,
ukiona mzigo unashushwa halafu pembeni kuna Bunduki ulinzi wa kutosha jua hapo kuna hela.
Sawa nkuucatton moja ina outer au wanaziita Bomba 100. hiyo unayosema ina paketi kumi ni Bomba sio caton. Carton ni box yenye hizo bomba za pakiti kumi kumi mia Moja. Hiyo biashara nimefanya sana mkuu miaka fulani hivi ila naambiwa sasa hivi imepanda inafika kwenye 40M Kwa carton
Mkuu hata hivyo hii hesabu yako haijakaa sawa 40M ukigawa kwa hizo outer 100 ni sawa kila outer 1 ni 400K kwa hiyo pakti 1 yenye sigara 20 itakuwa 40K hii sio sawa.catton moja ina outer au wanaziita Bomba 100. hiyo unayosema ina paketi kumi ni Bomba sio caton. Carton ni box yenye hizo bomba za pakiti kumi kumi mia Moja. Hiyo biashara nimefanya sana mkuu miaka fulani hivi ila naambiwa sasa hivi imepanda inafika kwenye 40M Kwa carton
kweli. 45,000*100.Mkuu hata hivyo hii hesabu yako haijakaa sawa 40M ukigawa kwa hizo outer 100 ni sawa kila outer 1 ni 400K kwa hiyo pakti 1 yenye sigara 20 itakuwa 40K hii sio sawa.
Mimi Niko Dar nichek tuone Bei ikoje ,mimi nitanunua huku kama una mtu huku dar au kwenye mabasi unamtumia pesa mimi namkabidho mzigo.Nakupm namba yanguHabari zenu? Mimi ni mfanyabiashara ajaye nipo mkoa wa Lindi nilikuwa naulizia ni wapi ninaweza kupata sigara ili mimi nije niuze kwa jumla.?
Outer mkweli. 45,000*100.
Kwani ni lazima aanze na mzigo wote huo,sigara kama Winston ,pakt 10 ni 25500 za Kitanzania alianza na chache chache mbona ataongeza kadri anavyouzani kwa sababu hujui tu Catton moja ya sigara si chini ya Milioni 25. sasa ukichukua wastan wa catton nne ni milioni mia moja. na kimsingi unatakiwa uchukue SM, SPORT, WINSTON, WINSTON SM, kALI, EMBASY N.K ambazo ni catton 7 usije ukazichukulia feg kirahisi rahisi mkuu.
Sigara ina bei sana
Hapana, kumbuka yeye anataka kuuza jumlaDuh sh mil 100 mbona pesa ndefu sana