Bashite na JiweNaingia sasa hv mkuu nikajue moja lakin inasimamiwa na nani hii kitu mkuu
Mkuu kutaja tu majina yetu ni kosa ndani ya JfKama unaikubali CCM na matendo yake basi iq Ni ndogo hicho ndo kipimo mfano jingalao Magonjwa Mtambuka nk si umeona hayo majina yanavyojunasubu?
16buletsmatusi huwa hayaniondoi kwenye hoja
Dereva yu wapi?16bulets
Mnanivunja mbavuWewe unaonyesha hata IQ yenyewe huna. Afadhali yangu ndogo naweza kuiwekea external IQ.
Kwa wasiojua kidhungu?Kwa wale wenzangu tusio na njuluku na tutest iq zetu kupitia hapa!
Free IQ Test - Fast, Free and Accurate Online IQ Test
Mchezo kama wa kitoto vile but ni hatariKwa wale wenzangu tusio na njuluku na tutest iq zetu kupitia hapa!
Free IQ Test - Fast, Free and Accurate Online IQ Test
Kwa hiyo wewe, Mkuu, ni kipimo cha IQ, ama?Hilo swali ni confirmation tosha kuwa IQ yako ni ndogo san
Muulize Infantry Soldier.Nimeona majarida mengi na mashirika mengi ya utafiti yakitoa takwimu za watu wenye IQ kubwa duniani.
Hivyo basi inaonyesha kipimo maalum cha IQ kipo.
Naomba kujuzwa hiki kipimo nitakipata wapi ili nijue IQ yangu?