Ni Wapi Naweza Kupimwa IQ Yangu?

Ni Wapi Naweza Kupimwa IQ Yangu?

Window7

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2013
Posts
4,109
Reaction score
3,054
Nimeona majarida mengi na mashirika mengi ya utafiti yakitoa takwimu za watu wenye IQ kubwa duniani.

Hivyo basi inaonyesha kipimo maalum cha IQ kipo.

Naomba kujuzwa hiki kipimo nitakipata wapi ili nijue IQ yangu?
 
Mkuu usipate shida! Kama unaelewa kidhungu ingia link ya chini hapo ujaribiwe!

kwa mwongozo tu, ukifika humo, kwanza utakutana na maswali matatu ya kuanzia kujaribiwa, wewe unatakiwa kukiliki buttons tu, either true or false! Then unakiliki finish. Baada ya hapo unapewa majibu ya ulichojibu then kama unataka testi yenyewe unaendelea, utakuta sehemu wameandika 'Are you ready to take a real thing now? click here'
Humo utakuta maswali mengi tu, utajibu kwa 'true' or 'false' then unaclick What's my IQ? unapewa majibu ya IQ yako!

Usisahau kutupa mrejesho wa majibu ya IQ yako!
Kila la heri.
IQTest.com
 
Ngoja nikajionee nitaweka mrejesho hapa mkuu.
 
Nimeona majarida mengi na mashirika mengi ya utafiti yakitoa takwimu za watu wenye IQ kubwa duniani.

Hivyo basi inaonyesha kipimo maalum cha IQ kipo.

Naomba kujuzwa hiki kipimo nitakipata wapi ili nijue IQ yangu?

You have an IQ of 161

Show your friends how smart you are by placing an official badge on your blog, profile or forums!
 
Mkuu usipate shida! Kama unaelewa kidhungu ingia link ya chini hapo ujaribiwe!

kwa mwongozo tu, ukifika humo, kwanza utakutana na maswali matatu ya kuanzia kujaribiwa, wewe unatakiwa kukiliki buttons tu, either true or false! Then unakiliki finish. Baada ya hapo unapewa majibu ya ulichojibu then kama unataka testi yenyewe unaendelea, utakuta sehemu wameandika 'Are you ready to take a real thing now? click here'
Humo utakuta maswali mengi tu, utajibu kwa 'true' or 'false' then unaclick What's my IQ? unapewa majibu ya IQ yako!

Usisahau kutupa mrejesho wa majibu ya IQ yako!
Kila la heri.
IQTest.com

Naingia sasa hv mkuu nikajue moja lakin inasimamiwa na nani hii kitu mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom