M mhogoz JF-Expert Member Joined Oct 16, 2021 Posts 1,347 Reaction score 2,229 Jul 2, 2025 #1 Nahitaji kuwasha taa kumi na mbili Tv Je ni wapi naweza kupata solar kwa ajili ya kazi hizi kwa bei poa
Nahitaji kuwasha taa kumi na mbili Tv Je ni wapi naweza kupata solar kwa ajili ya kazi hizi kwa bei poa
Muimba SINGELI JF-Expert Member Joined Dec 25, 2024 Posts 4,211 Reaction score 10,840 Jul 2, 2025 #2 Mkuu ungesema uko wapi ili iwe rahisi mtu kuja kuchangia maoni yake.
TUJITEGEMEE Platinum Member Joined Nov 6, 2010 Posts 27,265 Reaction score 27,927 Jul 2, 2025 #3 mhogoz said: Nahitaji kuwasha taa kumi na mbili Tv Click to expand... Sawa. Taa na TV ni za watt ngapi? Na hizo taa na tv unaziwasha kwa masaa mangapi kwa siku? Ukitoa hizo takwimu utapata ushauri muhimu Sana.
mhogoz said: Nahitaji kuwasha taa kumi na mbili Tv Click to expand... Sawa. Taa na TV ni za watt ngapi? Na hizo taa na tv unaziwasha kwa masaa mangapi kwa siku? Ukitoa hizo takwimu utapata ushauri muhimu Sana.
Mtoto halali na hela JF-Expert Member Joined Aug 10, 2012 Posts 53,246 Reaction score 50,467 Jul 4, 2025 #4 Ulipo kuna dealers
Zamaulid JF-Expert Member Joined May 25, 2009 Posts 19,955 Reaction score 16,006 Jul 17, 2025 #5 ENSKY SOLAR
P Pinkieee New Member Joined Apr 29, 2019 Posts 2 Reaction score 1 Jul 17, 2025 #6 Waone Gdd Tech wapo Dom