Wapi naweza kubadili pesa ya Bahrain kuwa shilingi za Kitanzania?

karma

Member
Apr 21, 2022
18
35
Habari za weekend wana JF. I hope mpo poa.

Wajuzi wa haya mambo naomba msaada wenu, ni wapi naweza change Bahrain Dinar to Tanzania Shillings?

Nimejaribu kwenda bank zetu hizi za ndani lakini haikuwezekana.

Naombeni msaada wenu ni wapi naweza badili hii pesa.
 
Habari za weekend wana JF. I hope mpo poa.

Wajuzi wa haya mambo naomba msaada wenu, ni wapi naweza change Bahrain Dinar to Tanzania Shillings?
Nimejaribu kwenda bank zetu hizi za ndani lakini haikuwezekana. Naombeni msaada wenu ni wapi naweza badili hii pesa.
bureau de change umekosa mkuu?

uko wapi kwanza tujue tunakuelekeza wapi
 
Ni ngumu sijui western union kama wanaweza. Au fanya connection uzitume nchini bahrain wao wakupe dollar kupitia account yako
 
Ni ngumu sijui western union kama wanaweza. Au fanya connection uzitume nchini bahrain wao wakupe dollar kupitia account yako
Asante kwa muongozo mkuu.
Ila naomba unipe ABC za huu mchakayo wa kuzituma ndio unakuaje
 
Asante kwa muongozo mkuu.
Ila naomba unipe ABC za huu mchakayo wa kuzituma ndio unakuaje
Ingia google tafuta contact za BOT ya kule ongea nao kwa simu,waeleze shida yako,zitume kwa DHL,fedex au kampuni iliyopo kule.Kisha wao watakutumia kwa Western Union ktk dollar,au currency yeyeto
 
Bureau de change nilishaenda, the response was hawabadili hiyo pesa.
Kwa Sasa nipo Dar es Salaam mkuu.
Mlimani city pale nadhani wanabadili burea jina lake ni kadoo sema rate inaweza kuwa chini na uhalisia.

jaribu kupitia hapo kesho
 
Ingia google tafuta contact za BOT ya kule ongea nao kwa simu,waeleze shida yako,zitume kwa DHL,fedex au kampuni iliyopo kule.Kisha wao watakutumia kwa Western Union ktk dollar,au currency yeyeto
Asante Sana Mkuu.
 
Back
Top Bottom