Ni wapi ilipo ofisi ya Mkuu wa Mkoa Tabora?

Ni wapi ilipo ofisi ya Mkuu wa Mkoa Tabora?

Rahma Nyusi

Member
Joined
Jun 3, 2015
Posts
73
Reaction score
9
Habarini wa kuu,

Mimi nipo Dar es salaam nataka kwenda ofisi ya mkuu wa mkoa Tabora.Sasa naomba msaada wenu wakuu kwa wanaojua

1. Kutoka Dar es salaam hadi Tabora inachukua muda gani kwa usafiri wa basi?

2. Ofisi ya mkuu wa mkoa Tabora ipo umbali gani kutoka stend kuu ya mabasi Tabora?

3. Kwa ujumla hali ya hewa Tabora ipo vipi na maanisha kuna baridi au nihali ya joto ili niweze kubeba coat.

MSAADA WENU
 
Kwa basi Nbs unaondoka dsm 12 asbh unafika tabora saa 3 usiku
 
Ukitoka Asubuhi Na Kisbo
Hapo Dar es salaam Ujue Tabora Ni Saa Kumi Na Mbili Na Kuendelea Hayo Ndiyo Matarajio Ya Kufika Kumbuka Safari Ni Hatua Inategemea Siku Hiyo Hali Ikoje Huko Njiani


Hongera Sana Kwa Kupata Kazi
Mambo Mengine Ngoja Waje Wakazi Wa Tabora
 
Hali ya hewa ya tabora ni vugu vugu yaani si baridi saaana ila joto lipo la kutosha
 
Nauli elfu 40000/= panda NBS usafiri wa uhakika ni masaa kumi na Mbili mpka 13 unaspend road.
 
Hali ya hewa inabadilika kulingana na vipindi tofauti vya mwaka ila ipo kawaida tu na inazoeleka. Karibu Tabora.
 
Panda #NBS safari ya uhakika pia kuna vinywaji vya kutosha ispokuwa pombe, na pia safari zao ni za uhakika namani gari zake zinasevic ya kutosha na hazisimamisimami njian kama zingne, nauli 40, 000/mda ni masaa 13-14, zinamwendo mzuri sana hazikimbizan na gari yyte, pia hali ya tabora joto lipo ila sio kivile saaana na barid ipo nayo sio sana kwa ujumla ni kati kwa kati tu mi naona, na kwa usiku inategemeana na nyumba unayoishi je ni pana au finyu, ndo hivyo kaka, mi nipo hapa tabora ukifika uliza #MABOTO ENTERPRISES LTD, nahusika na kukopesha watumishi walio chin ya #MKURUGENZI mkopo nafuu na waharaka sana dk 15- 30saa unadaka mkwanja, so waweza nitafuta tu ukifika 0783327380
 
Kutoka stendi ya mabasi Tabora mjini mpaka ofisi ya Mkuu wa Mkoa ni kama 3KM
 
Baridi la Tabora ni lile la kupasua midomo na miguu. Unapauka ile mbaya! Linapuliza kama kipupwe. Acha kabisa! Hii ni kuanzia mwezi wa 4 mpaka wa 11.
 
Tabora kuna giza ile mbaya. Hii ni miezi ya September mpaka December. Mitaa haina taa pia na nyumba nyingi hazina umeme. Pia nyumba nyingi ni za udongo ama sementi ya hali ya chini. Maeneo ya Isevya design ya nyumba ni zile za toka miaka ya 1960. Hakuna nyumba mpya Isevya zaidi ya marehemu Mwalimu Kishiki aliyejengewa na mtandao wa vodacom kama barter trade baada ya wao kujenga mnara wao kwenye kiwanja chake. Maeneo ya chemchem, mwanza road, kiloleni na mihogoni hali ya myumba zao ni duni sana lakini wasichana wanaozaliwa katika nyumba hizo ni wakali kinoma. Ni warembo sana.......
ULIZA KINGINE MKUU.
 
Mkuu ukipanda kisbo safari unaonfoka dar saa 12 asubuhi unafika saa moja jion au mbili mkichelewa sana, lodge nzuri za bei ya elf 15 zilizo karibu na stand ni Zimbabwe, goodnight au byb lodge, maeneo ya kanyenye ni kwihala lodge, white sarkozy, ck etc kutoka stand kwenda ofisi ya mkoa wa mkoa ni mwendo wa dakika ka nne mpaka tano kwa bodaboda, kama wewe ni mwanaume ukitaka totoz fika chuo cha Uhadhiri, zero , shimoni au tembelea kiwanja kipya cha oxygen longe and bar!
 
Hongera sana. Nakumbuka kipindi kile tunakimbizana na issue ya BVR. Mi nimepata kazi Dodoma...
 
Back
Top Bottom