suleym
JF-Expert Member
- Sep 21, 2010
- 1,961
- 1,211
Baridi la Tabora ni lile la kupasua midomo na miguu. Unapauka ile mbaya! Linapuliza kama kipupwe. Acha kabisa! Hii ni kuanzia mwezi wa 4 mpaka wa 11.
Ile hali hewa ni kiboko unapasuka usoni hatari, hivi dawa yake ni nini?