Ni wapi Dar naweza somea ualimu wa lugha ya alama (sign language)

Ab5

Senior Member
Dec 3, 2017
151
99
Refer to the heading above,

Naomba mnisaidie wana JF ni wapi ndani ya mkoa wa Dar es Salaam naweza kupata mafunzo ya lugha ya alama (sign language)?

Ni muhimu sana kwangu

Msaada tafadhali
 
Safi sana wachangiaji kwa kutoa msaada kwa hitaji la mleta uzi.

Mimi mwenyewe huwa napenda sana kujifunza sign za upande wetu huu wa pili.

Mimi huwa najifua kidogo kwa kupitiapitia kitabu cha Apple is My sign by Mary Riskind. (Hard copy)

Nimeweka Matumaini ipo siku nitiifahamu lugha hii ya wenzetu.
 
SORRY MKUU,HIKI KITABU NAWEZA KUKIPATA WAP
 
Kwakweli siwezi kukupa jibu kamili,niliwahi kukitafuta kwa internet softcopy yake nilifeli kukipata,mimi hiki nilichonacho nilipewa na Rafiki yangu.

Labda nenda kajaribu kuuliza Maktaba mbalimbali unaweza bahatisha.
 
Sahihi kabisa nadhani na Lushoto pia sehemu inaitwa Irente
Lushoto kuna Sebastian kolowa memorial university nadhani ndio mwisho wa yote..

Kuna ndugu yangu kasoma hapo yuko vizuri sana
 
Kariakoo shule ya viziwi karibu na Benjamin Mkapa sekondari fika hapo utasaidika
Benjamin Mkapa pia viziwi wanasoma elimu ya sekondari pale. Ila sidhani kama wanafundisha watu lugha ya ishara kwenye hizo shule.

Mleta mada kwavile ameulizia kwa hapa DSM tu, basi sehemu nzuri ni CHAVITA makao makuu, pale wana walimu na wakalimani wa hiyo lugha.
 
ofisi za Chavita zi wapi Mkuu
 
Safi sana wachangiaji kwa kutoa msaada kwa hitaji la mleta uzi.

Mimi mwenyewe huwa napenda sana kujifunza sign za upande wetu huu wa pili.

Mimi huwa najifua kidogo kwa kupitiapitia kitabu cha Apple is My sign by Mary Riskind. (Hard copy)

Nimeweka Matumaini ipo siku nitiifahamu lugha hii ya wenzetu.
Mkuu unaweza nisaidia hicho kitabu
 
Benjamin Mkapa pia viziwi wanasoma elimu ya sekondari pale. Ila sidhani kama wanafundisha watu lugha ya ishara kwenye hizo shule.

Mleta mada kwavile ameulizia kwa hapa DSM tu, basi sehemu nzuri ni CHAVITA makao makuu, pale wana walimu na wakalimani wa hiyo lugha.
Mkuu una mawasiliano yao
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom