Ni wangapi wanakumbuka jina la mwalimu wa darasa la kwanza?

Mwalimu Balbina, mwalimu mpole sijwahi kuona, huyu ndo alijua maana ya ualimu ni wito,
miaka 23 iliyopita yenye kumbukizi maridhawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…