Ni wangapi humu tunapata tabu kuvaa condom!

Ni wangapi humu tunapata tabu kuvaa condom!

Kwa kweli hata mimi kutumia Condom huwa ni changamoto sana.

Huwaga naunganisha goli la kwanza na goli la pili
 
Kwa kweli hata mimi kutumia Condom huwa ni changamoto sana.
Huwaga naunganisha goli la kwanza na goli la pili
hahah sasa si unakiuka masharti mkuu ebu kuwa na huruma basi😃
Ujue wameweka masharti kuwa kila goli ubadilishe mfuko. Sasa ukiunganisha manake hapo utakuwa unawabaka wanao wale wa goli la kwanza 😁
Jitahidi mkuu uwe unabadilisha huo ubakaji wa vitoto sasa.
 
hahah sasa si unakiuka masharti mkuu ebu kuwa na huruma basi
Ujue wameweka masharti kuwa kila goli ubadilishe mfuko. Sasa ukiunganisha manake hapo utakuwa unawabaka wanao wale wa goli la kwanza
Jitahidi mkuu uwe unabadilisha huo ubakaji wa vitoto sasa.
Hahaha!!

Mkuu kissange ujue usumbufu unakujaga pale ninaposhusha makinikia na ndom inajaa

Sasa ile kutaka niunganishe ndomu inakuwa inateleza kwa kuzidiwa makinikia.

Ile kuanza kubadurisha tena ndomu inakuwa kero.

Naitoa nakuunga tu.......
 
hahah sasa si unakiuka masharti mkuu ebu kuwa na huruma basi
Ujue wameweka masharti kuwa kila goli ubadilishe mfuko. Sasa ukiunganisha manake hapo utakuwa unawabaka wanao wale wa goli la kwanza
Jitahidi mkuu uwe unabadilisha huo ubakaji wa vitoto sasa.
haki nimecheka
 
Siku hizi nimeamua kuwa mwaminifu, nimtakaye lazima tupime ndipo tupeane ndomu inapoteza ladha
Hivi hawa wanaotengeneza ndomu wana akili gani!?yaani vicondomu vidogo hadi mtu ukijaribu kuvaa inasumbua inachukua dakika hadi kumi unahangaika tu kuvaa hadi mnara unaanza kupoteza network mwisho wa siku unakuta condomu yenyewe haifiki hadi mwisho mtu unavaa nusu mlingoti,na Mara nyingine MTU unaamua kucheza peku kabisa!
 
Nikivaa tu dudu linagoma kufanya kazi
20190712_153819.jpeg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom