Ni wakati wa kutomtegemea Mwanaume

Ushauri mzuri ila hela ya mwanaume tamu bhana. Yaani hata kama umemzidi kipato bado akikupa yake ni tamu sana yaani. Tutafute hela ila kuhudumiwa raha jamani.
Wewe ndo mwanamke sasa, mwenye haiba za kike.

Sio dume jike kama mleta uzi.
 
Kwa kweli mie niache tu nimtegemee
 
Tambua kuwa iyo kitu ipo nature huwezi pingana na iyo nature ndio mana mungu alikuumba uwe mwanamke. Kuacha kutoa huduma kwa mwanamke ni ngumu sana hata kama mwanamke anafanya kazi lazima kidume kitoe mahitaji fulani fulani kwa mwanamke wake.

Sent from my vivo 2015 using JamiiForums mobile app
 
Iron lady, katapila, kombora, guruneti, kimondo, uviko
Yote ya kutisha yake
 
Lamkosaji tu mwanamke kumtegemea mwanaume ni maumbile yako hivio mkikosa wanaume mnaanza kuwa ponda hovio
 
Ushauri mzuri ila hela ya mwanaume tamu bhana. Yaani hata kama umemzidi kipato bado akikupa yake ni tamu sana yaani. Tutafute hela ila kuhudumiwa raha jamani.
Safi sana achana na huyo mshamba limbukeni
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…