Pengo?Dr Shoo ni Chadema wa Kufa kuzika yaani Chadema Lia lia
JinoPengo?
Padri Privatus Karugendo huyafanya haya mara kwa mara kwenye makala zake anazoandika katika gazeti la MWANANCHIKwanza ndugu zangu wa JF naomba niwasalimu wote.
Pili naomba niseme ukweli wangu kutoka moyoni ya kuwa Leo katika Ibada ya Mazishi ya DR. MENGI, nimefurahishwa sana na kile alichosema ASKOFU DR. SHOO. Sababu kubwa ni hizi;
i.Amesema ukweli bila kuogopa kama muhusika yupo au la.
ii.Amewasemea wanyonge na wenye hofu ya kusema ukweli.
iii.Ametoa ushauri bila kuogopa wenye mamlaka kama wapo au la.
iv.n.k
Binafsi nimejiuliza, "JE KUNA KARDINALI, ASKOFU au PADRI MWENYE UWEZO WA KUVAA JAPO SOKSI TU NA SIYO VIATU VYA ASKOFU DK.SHOO AKIPEWA NAFASI YA KUSEMA NENO MBELE YA VIONGOZI WA SERIKALI?"
Huyo Shoo hawezi kutofautisha siasa na mahubiri, ana hatred ya kichadema moyoni
Unamaanisha ukiwa CHADEMA ndiyo unakuwa na ujasiri wa kuusema ukweli?Dr Shoo ni Chadema wa Kufa kuzika yaani Chadema Lia lia
Karugendo ahudumu kanisani tena ni mlei kama wewe na mimi tu nadhan na ameshaoaPadri Privatus Karugendo huyafanya haya mara kwa mara kwenye makala zake anazoandika katika gazeti la MWANANCHI
Naam nalifahamu hilo ila hajaanza leo kufanya hivyo na pia ni sehemu ya kanisa katolikiKarugendo ahudumu kanisani tena ni mlei kama wewe na mimi tu nadhan na ameshaoa
Dr Shoo ni Chadema wa Kufa kuzika yaani Chadema Lia lia
Huyo Shoo hawezi kutofautisha siasa na mahubiri, ana hatred ya kichadema moyoni
Itakuwa katumwa na mabeberu huyo.Kwanza ndugu zangu wa JF naomba niwasalimu wote.
Pili naomba niseme ukweli wangu kutoka moyoni ya kuwa Leo katika Ibada ya Mazishi ya DR. MENGI, nimefurahishwa sana na kile alichosema ASKOFU DR. SHOO. Sababu kubwa ni hizi;
i.Amesema ukweli bila kuogopa kama muhusika yupo au la.
ii.Amewasemea wanyonge na wenye hofu ya kusema ukweli.
iii.Ametoa ushauri bila kuogopa wenye mamlaka kama wapo au la.
iv.n.k
Binafsi nimejiuliza, "JE KUNA KARDINALI, ASKOFU au PADRI MWENYE UWEZO WA KUVAA JAPO SOKSI TU NA SIYO VIATU VYA ASKOFU DK.SHOO AKIPEWA NAFASI YA KUSEMA NENO MBELE YA VIONGOZI WA SERIKALI?"
Kwanza ndugu zangu wa JF naomba niwasalimu wote.