CalvinPower
JF-Expert Member
- Nov 25, 2008
- 1,572
- 883
Sio ccm wote wapo hivyo?
Sio ccm wote wapo hivyo?
kama yapi tofauti na hali tete ya ukiukwaji wa haki za binadamu uliopindukia...Kwani ni lazima kumjibu Lissu? Kwanini haikuwa lazima kwao kupigia kelele suala la ulinzi wake waje kumjibu?
Pili kama Taifa mna mengi ya kufanya si lazima kujibizana mtandaoni