MTAKA HABARI
Senior Member
- Jan 17, 2019
- 123
- 149
THUBUTUUUU! Nape habari nyingine huyo Babu yako hawezi kuufikia uwezo wa Bro Napelape hata chembe!!!!!CCM wote jumlisha na mawaziri wao wote pamoja na hao uliowataja ndio uwezo wa lissu! Sasa hao 3 wataweza???
Wacha wafungue midomo ili waendelee kuaibika. Na kwanini ajibiwe na ccm wakati hoja zake ni juu ya serekali na bunge?.CCM wote jumlisha na mawaziri wao wote pamoja na hao uliowataja ndio uwezo wa lissu! Sasa hao 3 wataweza???
Wewe na yeye mgonjwa nani?.Mgonjwa anajibiwa ili nini?
Nimejibu mkuu jitoeWakijibu najitoa Jf
Bashe na Nape wanaweza kujibu lakini kwa January is quiet different, uwezekano ni mdogo mno
Hiki nacho mi kiingilishi? Mhhh, kazi tunayo!so what are you mean for it
Hii ndio ccm ya awamu hiiHiki nacho mi kiingilishi? Mhhh, kazi tunayo!
Sawa mh. Bashe ngoja nifanye uhakikiNimejibu mkuu jitoe
ππππππππππnimechekaWakijibu nabadilisha jinsia
Heheee kiingereza kweli. Kwann tusiandike kiswaa.so what are you mean for it