Ni wakati sasa kumfichua anayemtuma Musiba kuleta taharuki

Chakaza

Chakaza

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2007
Messages
29,895
Points
2,000
Chakaza

Chakaza

JF-Expert Member
Joined Mar 10, 2007
29,895 2,000
Taharuki katika jamii ni jambo lenye kuchukuliwa kwa hadhari kubwa sana.
Tumeona zipo habari za taharuki ambazo huwa zinaweza kuleta hata mtikisiko wa kiuchumi, mfano kushuka ghafla au kupanda kwa masoko ya hisa au wawekezaji kukimbia au kukimbiza mitaji.

Tumeshuhudia huyu mtu (ambaye ukimuangalia kwa umakini ana tatizo kisaikolojia) akija na tuhuma kedekede kwa watu mbalimbali na ambao wanaheshimika katika jamii, lakini la kusikitisha ni kuwa hachukuliwi hatua yeyote hata ya kuonywa tuu. Jee yeye ni nani? Au yeye anatumwa na nani?

Jana magazeti yake yametoa taarifa kuwa kuna watu wanataka kumuua, Polisi wakasoma magazeti hao mbio kuwahoji waliotajwa kama vile hizo tuhuma zimekuwa FILED kwao.

Nani tumepata kuona anapewa huduma hii first class na jeshi letu la polisi? Lazima kuna mtu mzito ambaye yeye ndiye "Musiba" na huyu mropokaji ni photocopy tuu, jee ni nani huyo anayeogopwa na wahusika wa tasnia hizo za habari na wa usalama?

Maana sio Dr Abass au Mwakyembe anaye furukuta, na wala sio Kamanda Sirro au Kangi mwenye kuweza kukohoa kwa Musiba.

Tuwe sasa wakweli, ni nani huyo ndio mwamvuli wa Musiba? Ndiye backup yake kiasi cha kujiaibisha kwa kuonyesha kazi hawawezi?

Ukiona polisi wanamuita Max ahojiwe kwa tuhuma nzito kama hizo kisha wanamuachia bila masharti ujue tuhuma hizo ni baseless na zimedharaulika lakini wao wametaka kumuonyesha huyo wamuogopaye kuwa wamechukua hatua.
NI NANI HUYO TUMFICHUE?
 
Chakaza

Chakaza

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2007
Messages
29,895
Points
2,000
Chakaza

Chakaza

JF-Expert Member
Joined Mar 10, 2007
29,895 2,000
Mkuu mbona anajulikana, hata wewe unamjua sema unaogopa kumtaja, ni kokoto
Nakumbuka Siku za nyuma vikao vya ccm vilikuwa vinaweza kumhoji yeyote mwenye kadi ya chama. Nasema YEYOTE yule kama alikuwa anakwenda kinyume na Sera na desturi za chama hicho.
Jee jeuri hiyo imepotelea wapi?
 
Ciril

Ciril

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2011
Messages
7,096
Points
2,000
Ciril

Ciril

JF-Expert Member
Joined Jan 10, 2011
7,096 2,000

Imemezwa na Nguvu ya Mamlaka kutoka huko huko CCM kwa kunrundikia Ufalme Mtu mmoja ,na kila wakati huwa wana muongezea nyingine zaidi na zaidi huko Bungen kwa Mzee wa Subwoofer bila ya wao kujijua.
 
Ciril

Ciril

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2011
Messages
7,096
Points
2,000
Ciril

Ciril

JF-Expert Member
Joined Jan 10, 2011
7,096 2,000
Mwakaharakati huru.
Mkuu hichi ni Kichaka tu ili kuhalalisha anacho kifanya ,umesha jiuliza utetezi wa huyu Jamaa na kila anapo mtuhumu au kurusha mashambulizi ni lazima aguse Ufalme wa Jiwe !?."Wana nia ya kumtoa Mh flan Madarakani"..
 
An Eagle

An Eagle

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2019
Messages
589
Points
1,000
An Eagle

An Eagle

JF-Expert Member
Joined Feb 11, 2019
589 1,000
Taharuki katika jamii ni jambo lenye kuchukuliwa kwa hadhari kubwa sana.
Tumeona zipo habari za taharuki ambazo huwa zinaweza kuleta hata mtikisiko wa kiuchumi, mfano kushuka ghafla au kupanda kwa masoko ya hisa au wawekezaji kukimbia au kukimbiza mitaji..
Tumeshuhudia huyu mtu (ambaye ukimuangalia kwa umakini ana tatizo kisaikolojia) akija na tuhuma kedekede kwa watu mbalimbali na ambao wanaheshimika katika jamii, lakini la kusikitisha ni kuwa hachukuliwi hatua yeyote hata ya kuonywa tuu. Jee yeye ni nani? Au yeye anatumwa na nani?
Jana magazeti yake yametoa taarifa kuwa kuna watu wanataka kumuua, Polisi wakasoma magazeti hao mbio kuwahoji waliotajwa kama vile hizo tuhuma zimekuwa FILED kwao. Nani tumepata kuona anapewa huduma hii first class na jeshi letu la polisi? Lazima kuna mtu mzito ambaye yeye ndiye "Musiba" na huyu mropokaji ni photocopy tuu, jee ni nani huyo anayeogopwa na wahusika wa tasnia hizo za habari na wa usalama?
Maana sio Dr Abass au Mwakyembe anaye furukuta, na wala sio Kamanda Sirro au Kangi mwenye kuweza kukohoa kwa Musiba.
Tuwe sasa wakweli, ni nani huyo ndio mwamvuli wa Musiba? Ndiye backup yake kiasi cha kujiaibisha kwa kuonyesha kazi hawawezi?
Ukiona polisi wanamuita Max ahojiwe kwa tuhuma nzito kama hizo kisha wanamuachia bila masharti ujue tuhuma hizo ni baseless na zimedharaulika lakini wao wametaka kumuonyesha huyo wamuogopaye kuwa wamechukua hatua.
NI NANI HUYO TUMFICHUE?
Wako Watatu tu wa Kwanza yupo Jirani na Mahakama ya Samaki Jijini Dar es Salaam Kikazi na Kimakazi, wa Pili yupo Masaki anaishi karibu na Hotel ya Sea Cliff japo Kikazi hayuko mbali na Shule ya Ilala Boma na Soko la Ilala Karume na wa mwisho ( wa Tatu ) ana Kazi za aina mbili ya Kimedani na ya Kiuchungaji na muda wake mwingi wa Utumishi upo Oysterbay mkabala na Shule ya Chekechea ya Mtakatifu Peter. Nimeshangaa sana wanavyohangaika na Watu kama akina Maxence Melo ambao ukipima na Kuchunguza Kiumakini hawahusiki na hizo Tuhuma zao za Kiduduna ( Kipumbavu ) kabisa dhidi yao.
 
R

rolla

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2013
Messages
1,972
Points
2,000
R

rolla

JF-Expert Member
Joined Apr 20, 2013
1,972 2,000

Home. Boy wake
 
Ngisibara

Ngisibara

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2009
Messages
2,502
Points
2,000
Ngisibara

Ngisibara

JF-Expert Member
Joined Jan 2, 2009
2,502 2,000
Nakumbuka Siku za nyuma vikao vya ccm vilikuwa vinaweza kumhoji yeyote mwenye kadi ya chama. Nasema YEYOTE yule kama alikuwa anakwenda kinyume na Sera na desturi za chama hicho.
Jee jeuri hiyo imepotelea wapi?
Jeuri hiyo ilikufa na Nyerere mkuu
 
Threesixteen Himself

Threesixteen Himself

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2013
Messages
7,619
Points
2,000
Threesixteen Himself

Threesixteen Himself

JF-Expert Member
Joined Feb 12, 2013
7,619 2,000
Wako Watatu tu wa Kwanza yupo Jirani na Mahakama ya Samaki Jijini Dar es Salaam Kikazi na Kimakazi, wa Pili yupo Masaki anaishi karibu na Hotel ya Sea Cliff japo Kikazi hayuko mbali na Shule ya Ilala Boma na Soko la Ilala Karume na wa mwisho ( wa Tatu ) ana Kazi za aina mbili ya Kimedani na ya Kiuchungaji na muda wake mwingi wa Utumishi upo Oysterbay mkabala na Shule ya Chekechea ya Mtakatifu Peter. Nimeshangaa sana wanavyohangaika na Watu kama akina Maxence Melo ambao ukipima na Kuchunguza Kiumakini hawahusiki na hizo Tuhuma zao za Kiduduna ( Kipumbavu ) kabisa dhidi yao.

!
!
Sawa Kabisa. Ndio Huyu Hao Hao. Na Wamemuhakikishia Ulinzi Wa Maana Tu Kwa Hiyo Don't Bother Bwana. Zamu Yao Hommie
 
U

unprejudiced

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2017
Messages
1,631
Points
2,000
U

unprejudiced

JF-Expert Member
Joined Jan 27, 2017
1,631 2,000
Sikupingi, ila pia wangetazamwa humu watu wengi sana waropokaji pengine kuliko huyo misiba. Shida tunahukumu sana wengine.
Taharuki katika jamii ni jambo lenye kuchukuliwa kwa hadhari kubwa sana.
Tumeona zipo habari za taharuki ambazo huwa zinaweza kuleta hata mtikisiko wa kiuchumi, mfano kushuka ghafla au kupanda kwa masoko ya hisa au wawekezaji kukimbia au kukimbiza mitaji..
Tumeshuhudia huyu mtu (ambaye ukimuangalia kwa umakini ana tatizo kisaikolojia) akija na tuhuma kedekede kwa watu mbalimbali na ambao wanaheshimika katika jamii, lakini la kusikitisha ni kuwa hachukuliwi hatua yeyote hata ya kuonywa tuu. Jee yeye ni nani? Au yeye anatumwa na nani?
Jana magazeti yake yametoa taarifa kuwa kuna watu wanataka kumuua, Polisi wakasoma magazeti hao mbio kuwahoji waliotajwa kama vile hizo tuhuma zimekuwa FILED kwao. Nani tumepata kuona anapewa huduma hii first class na jeshi letu la polisi? Lazima kuna mtu mzito ambaye yeye ndiye "Musiba" na huyu mropokaji ni photocopy tuu, jee ni nani huyo anayeogopwa na wahusika wa tasnia hizo za habari na wa usalama?
Maana sio Dr Abass au Mwakyembe anaye furukuta, na wala sio Kamanda Sirro au Kangi mwenye kuweza kukohoa kwa Musiba.
Tuwe sasa wakweli, ni nani huyo ndio mwamvuli wa Musiba? Ndiye backup yake kiasi cha kujiaibisha kwa kuonyesha kazi hawawezi?
Ukiona polisi wanamuita Max ahojiwe kwa tuhuma nzito kama hizo kisha wanamuachia bila masharti ujue tuhuma hizo ni baseless na zimedharaulika lakini wao wametaka kumuonyesha huyo wamuogopaye kuwa wamechukua hatua.
NI NANI HUYO TUMFICHUE?
 
P

pilipili kichaa

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2013
Messages
9,134
Points
2,000
P

pilipili kichaa

JF-Expert Member
Joined Sep 3, 2013
9,134 2,000
Jamii inatakiwa kufahamu kuwa kuna watu ambao msaada wao mkuu ni ma-Dr. bingwa wa matatizo ya vichwa na sio mapolisi.
 
Forum statistics

Threads 1,316,462
Members 505,652
Posts 31,891,206
Top