Ni wakati sasa kumfichua anayemtuma Musiba kuleta taharuki

Nakumbuka Siku za nyuma vikao vya ccm vilikuwa vinaweza kumhoji yeyote mwenye kadi ya chama. Nasema YEYOTE yule kama alikuwa anakwenda kinyume na Sera na desturi za chama hicho.
Jee jeuri hiyo imepotelea wapi?
hivi hujasikia sasa hivi imekua mpya?Tamaduni za zamani zimeachwa
 
Taharuki katika jamii ni jambo lenye kuchukuliwa kwa hadhari kubwa sana.
Tumeona zipo habari za taharuki ambazo huwa zinaweza kuleta hata mtikisiko wa kiuchumi, mfano kushuka ghafla au kupanda kwa masoko ya hisa au wawekezaji kukimbia au kukimbiza mitaji.

Tumeshuhudia huyu mtu (ambaye ukimuangalia kwa umakini ana tatizo kisaikolojia) akija na tuhuma kedekede kwa watu mbalimbali na ambao wanaheshimika katika jamii, lakini la kusikitisha ni kuwa hachukuliwi hatua yeyote hata ya kuonywa tuu. Jee yeye ni nani? Au yeye anatumwa na nani?

Jana magazeti yake yametoa taarifa kuwa kuna watu wanataka kumuua, Polisi wakasoma magazeti hao mbio kuwahoji waliotajwa kama vile hizo tuhuma zimekuwa FILED kwao.

Nani tumepata kuona anapewa huduma hii first class na jeshi letu la polisi? Lazima kuna mtu mzito ambaye yeye ndiye "Musiba" na huyu mropokaji ni photocopy tuu, jee ni nani huyo anayeogopwa na wahusika wa tasnia hizo za habari na wa usalama?

Maana sio Dr Abass au Mwakyembe anaye furukuta, na wala sio Kamanda Sirro au Kangi mwenye kuweza kukohoa kwa Musiba.

Tuwe sasa wakweli, ni nani huyo ndio mwamvuli wa Musiba? Ndiye backup yake kiasi cha kujiaibisha kwa kuonyesha kazi hawawezi?

Ukiona polisi wanamuita Max ahojiwe kwa tuhuma nzito kama hizo kisha wanamuachia bila masharti ujue tuhuma hizo ni baseless na zimedharaulika lakini wao wametaka kumuonyesha huyo wamuogopaye kuwa wamechukua hatua.
NI NANI HUYO TUMFICHUE?
Magufuli akisaidiana na Makonda full stop.
 
Msifikiri tumezaliwa jana, haya mambo ya kutaka kuwania Urais come rain or shine utatufikisha wapi kama Taifa? Au mnafikiri yaliyo tokea Liberia na sasa Sudani Kasikazini ni vigumu kutokea hapa kwetu? Hatutaki vurungu za kijinga - mtu mmoja anakuwa nogwa kwa nini, ana kitu gani cha kujivunia mbona wakati wote alipo kuwa Waziri wa Wizara nyeti ambayo ndio ingekuwa msitari wa mbele kuleta wawekezaji wa kujenga viwanda na miundo mbinu , ingawa alikuwa na fursa ya kutekeleza hayo hakufanya hivyo badala yake aliishia ku-rove Dunia kama Ferdinand Magellan au James Cooke licha ya kudumu Wizarani zaidi ya miaka kumi.

Sasa jaribu kulinganisha uwajibikaji ulio tukuka wa JPM na huyo jamaa utashangaa anapata wapi ujasiri wa kutaka kuwania higher office let what comes may!!

Back to main point, JPM ameongoza Taifa letu kwa miaka karibu minne lakini ndani ya kipindi hicho kifupi ameanzisha mega projects nyingi tu ambazo zimeiletea Taifa letu heshima Kimataifa, ubunifu wa JPM na udhubutu wake umekuwa mfano wa kuigwa Africa Nzima, hao ndio Viongozi wanao takiwa ndani ya Bara la Afrika.

Unajua hata wewe unatumiwa na Musiba?
Sijui kama unajua kuwa taifa limepiga hatua kurudi nyuma japo wewe unaona limeenda mbele .
 
Taharuki katika jamii ni jambo lenye kuchukuliwa kwa hadhari kubwa sana.
Tumeona zipo habari za taharuki ambazo huwa zinaweza kuleta hata mtikisiko wa kiuchumi, mfano kushuka ghafla au kupanda kwa masoko ya hisa au wawekezaji kukimbia au kukimbiza mitaji.
Tumeshuhudia huyu mtu (ambaye ukimuangalia kwa umakini ana tatizo kisaikolojia) akija na tuhuma kedekede kwa watu mbalimbali na ambao wanaheshimika katika jamii, lakini la kusikitisha ni kuwa hachukuliwi hatua yeyote hata ya kuonywa tuu. Jee yeye ni nani? Au yeye anatumwa na nani?
Jana magazeti yake yametoa taarifa kuwa kuna watu wanataka kumuua, Polisi wakasoma magazeti hao mbio kuwahoji waliotajwa kama vile hizo tuhuma zimekuwa FILED kwao.
Nani tumepata kuona anapewa huduma hii first class na jeshi letu la polisi? Lazima kuna mtu mzito ambaye yeye ndiye "Musiba" na huyu mropokaji ni photocopy tuu, jee ni nani huyo anayeogopwa na wahusika wa tasnia hizo za habari na wa usalama?
Maana sio Dr Abass au Mwakyembe anaye furukuta, na wala sio Kamanda Sirro au Kangi mwenye kuweza kukohoa kwa Musiba.
Tuwe sasa wakweli, ni nani huyo ndio mwamvuli wa Musiba? Ndiye backup yake kiasi cha kujiaibisha kwa kuonyesha kazi hawawezi?
Ukiona polisi wanamuita Max ahojiwe kwa tuhuma nzito kama hizo kisha wanamuachia bila masharti ujue tuhuma hizo ni baseless na zimedharaulika lakini wao wametaka kumuonyesha huyo wamuogopaye kuwa wamechukua hatua.
NI NANI HUYO TUMFICHUE?
Kila mtu humu anatumiwa na Msiba, Ndo maana mkiona bandiko lenye Jina Msiba lazima mlisome, Yule mumuache Kama alivyo kwa maslahi ya Taifa
 
Mange na Musiba tofauti yao siioni. Kama mlimuita Mange mwanamke wa shoka basi mvumilieni Musiba naye mmuite mwanamume wa shoka.
 
Mtu yeyote Mwoga na asiyejiamini ndio anaweza kumtumia Musiba kama propagation man wake.
Musiba ni kichaa hivyo lazima amtumiaye hana ujasiri wa kuruhusu ukweli uwe wazi
Wewe ulimua mshabiki wa Mange. Sisi tulinua yatafika hapa tumawaonya kuwachekea wehu leo mmepata ant dote mnalia
 
Wewe tatizo lako ni lipi hasa? Musiba anacho kisema kina mantiki sana sio kwamba anakurupuka tu - nyie watu baki mnaojifanya kukwazwa na uwazi wa Musiba basi you are obviously an ardent supporter of the gang hell bent to unseat JPM by throwing a monkey spanner in his bid for a second term in office - hamtafanikiwa.
We mpumbavu sana kwahyo kila anachokisema msiba ni ukweli mtupu unamaanisha kwamba ni kweli Maxence Melo alikua kwenye mpango wa kumuua msiba? Inaelekea una ushaidi kamili juu ya hili unaweza kutushirikisha ili hata angalau tumuelewe huyo msiba wako?
 
Taharuki katika jamii ni jambo lenye kuchukuliwa kwa hadhari kubwa sana.
Tumeona zipo habari za taharuki ambazo huwa zinaweza kuleta hata mtikisiko wa kiuchumi, mfano kushuka ghafla au kupanda kwa masoko ya hisa au wawekezaji kukimbia au kukimbiza mitaji.

Tumeshuhudia huyu mtu (ambaye ukimuangalia kwa umakini ana tatizo kisaikolojia) akija na tuhuma kedekede kwa watu mbalimbali na ambao wanaheshimika katika jamii, lakini la kusikitisha ni kuwa hachukuliwi hatua yeyote hata ya kuonywa tuu. Jee yeye ni nani? Au yeye anatumwa na nani?

Jana magazeti yake yametoa taarifa kuwa kuna watu wanataka kumuua, Polisi wakasoma magazeti hao mbio kuwahoji waliotajwa kama vile hizo tuhuma zimekuwa FILED kwao.

Nani tumepata kuona anapewa huduma hii first class na jeshi letu la polisi? Lazima kuna mtu mzito ambaye yeye ndiye "Musiba" na huyu mropokaji ni photocopy tuu, jee ni nani huyo anayeogopwa na wahusika wa tasnia hizo za habari na wa usalama?

Maana sio Dr Abass au Mwakyembe anaye furukuta, na wala sio Kamanda Sirro au Kangi mwenye kuweza kukohoa kwa Musiba.

Tuwe sasa wakweli, ni nani huyo ndio mwamvuli wa Musiba? Ndiye backup yake kiasi cha kujiaibisha kwa kuonyesha kazi hawawezi?

Ukiona polisi wanamuita Max ahojiwe kwa tuhuma nzito kama hizo kisha wanamuachia bila masharti ujue tuhuma hizo ni baseless na zimedharaulika lakini wao wametaka kumuonyesha huyo wamuogopaye kuwa wamechukua hatua.
NI NANI HUYO TUMFICHUE?
Hili halina ubishi kuwa huyu Musiba anatumwa, na ingekuwa hatumwi magazeti yake yangeshafungiwa na polisi jana wasingeitwa kuwahoji hawa watu waliosingiziwa na Musiba kuwa wanataka kumuua. Mbona polisi kwenye issue zingine huwa wanasema muhusika haja fungua daraja la madai au malalamiko ndio maana hawashughuliki ila kwa Musiba wamesoma tu na ku act.
 
dah ndo tulikofika Mkuu:confused::confused::confused:
Wengine tulionya kuwashabikia vichaa siyo kuzuri. Sasa tunayaona. Mange alitukana mpaka masheikh viongozi wa siasa. Na nadhani alikua na watu waliokuwa wanampatia taarifa sasa tumempata mwingine tusilalamike mqana hata serikali haikufanya chocho kwa Mange
 
Back
Top Bottom