Donald Lema
Senior Member
- Jul 11, 2015
- 165
- 211
Hivi kutubu mpaka uitishe press conference.?Au uende kwa Kakobe,Au kwa Gwajima.Kutubu Ni mtu anaongea na Mungu wake kimya,na kwa unyenyekevu.Hii ya kuandika mada ,Fulani atubu,nani anajua Ni muda gani anaongea na Mungu wake?Vipi toa maelezo kidogo japo hoja moja wapo.ktk hizo alizotoa mtoa mada.