Ni wakati sahihi wa Rais kutubu kwa yale yote yaliotokea kuanzia mwaka 2015 mpaka sasa.

RAIS WETU JPM WEWE PIGA KAZI. WANANCHI WENGI NA HASA MASKINI NA WANYONGE TULIOSABABISHIWA UNYONGE NA UMASKINI NA HAWA WAPIGA DILI WAKATI WA TAWALA ZILIZOPITA TUKO PAMOJA NA UTAWALA WAKO. UZURI MAMBO YOTE MAOVU WANAYOPANGA GIZANI KWA KUSHIRIKIANA NA VIONGOZI WA DINI NA MADHEHEBU KANJANJA MUNGU ANATUFUNULIA MCHANA. WATASHINDANA LAKINI HAWATASHINDA. TANZANIA TUNAMUHITAJI RAIS SAMPULI YAKO JPM. PIGA KAZI MWANA WANE WATAKUJA KUKUELEWA BAADAYE NAAMINI.
 
Inakuaje muda huu uko JF unaandika haya je madudu mumeo/hawara wako hayupo?

Eeeeeeeh
Uwiiiiiiiiiiiii

Yangu yanakuhusuje?
Mr Mpinzani umeanza kunijali.. eeeeeeh pokea busu cc: chuma cha mjerumani nae aje pia asome labda angependa mualiko na kujua nina roho safi hata busu za shavu natoa.. eeeh

Ningesoma mapema ningekuombea ruksa uje upige nasi upepo jamani.
 
Very Stupid,Ignorant and empty-headed Woman.

Upinzani oyeeeee
Napenda ninavyojua kuwawewesesha.. imagine hadi leo.. furahia from 2018 naburudika na mengine humu. Siasa naiacha hukoooo na msinitagi kuniita waambie na wenzako..

Inaboaaaa siku hizi humu
 
Aiseeee

Kweli inaonyesha wengi mnaisoma namba hadi mnabwatuka ovyo ka nyie ndio watengeneza dhambi mnazotamani awe nazo.

Nchi hii inaonyesha Magufuli ni hakunaga katika historia ya nchi hii

Magufuli oyeeee

N.b. nimekusaidia kauzi kako kukupa kiki maana umedoda.. mjue wananchi yaani wadau wapo upande upi kwa wingiiiii
Hawa wengine niwakuwahurumia tuu, huenda nimatahira, unasema hoyee inamaana hayo yaliyosemwa hapo juu wewe huoni kuwa nikitu cha hatari katika taifa hili? hivi mijtu mingine mkoje?
 
Salamu Maria umejaa neema - Bwana yu nawe umebarikiwa (kuliko wanawake wote) x2

Na Yesu mzao – wa tumbo lako amebarikiwa

Maria Mtakatifu Mama wa Mungu utuombee sisi wakosefu sasa na saa ya kufa kwetu (amina) x4

nimekosa mimi nimekosa mimi nimekosa sana. Haya mmeshafurahi nimeombea watanzania wote wa dini zote kaeni kimya sasa alaa.
 
Aiseeee

Kweli inaonyesha wengi mnaisoma namba hadi mnabwatuka ovyo ka nyie ndio watengeneza dhambi mnazotamani awe nazo.

Nchi hii inaonyesha Magufuli ni hakunaga katika historia ya nchi hii

Magufuli oyeeee

N.b. nimekusaidia kauzi kako kukupa kiki maana umedoda.. mjue wananchi yaani wadau wapo upande upi kwa wingiiiii
Hata ikikuumiza, ukweli unabaki palepale
[HASHTAG]#AKATUBU[/HASHTAG]
 
Hawa wengine niwakuwahurumia tuu, huenda nimatahira, unasema hoyee inamaana hayo yaliyosemwa hapo juu wewe huoni kuwa nikitu cha hatari katika taifa hili? hivi mijtu mingine mkoje?

Oyeee hiyo ni ya JPM
Pia mimi ni mwananchi na mdau wa humu sipangiwi na mtu la kuandika na pia situmwina mtu.. yaani nina uhuru wangu wa kuandika chochote ninachotaka. Nilifungua ID hii mwenyewe
 
Kakobe ndio atubu sana kama kadanganya uraia wake na kuingilia siasa za nchi yetu na aseme hivi" Mungu wangu, nimetubu sana dhambi zangu, kwani ndiwe mwenye kupendeza, wachukizwa na dhambi. Basi sitaki kukosa tena, nitafanya kitubio, naomba neema zako nipata kurudi. Amina.
 
RAIS WETU JPM WEWE PIGA KAZI. WANANCHI WENGI NA HASA MASKINI NA WANYONGE TULIOSABABISHIWA UNYONGE NA UMASKINI NA HAWA WAPIGA DILI WAKATI WA TAWALA ZILIZOPITA TUKO PAMOJA NA UTAWALA WAKO. UZURI MAMBO YOTE MAOVU WANAYOPANGA GIZANI KWA KUSHIRIKIANA NA VIONGOZI WA DINI NA MADHEHEBU KANJANJA MUNGU ANATUFUNULIA MCHANA. WATASHINDANA LAKINI HAWATASHINDA. TANZANIA TUNAMUHITAJI RAIS SAMPULI YAKO JPM. PIGA KAZI MWANA WANE WATAKUJA KUKUELEWA BAADAYE NAAMINI.

Kila mwananchi anabaki kushangaa anaposikia wanaotumikiwa ni wananchi masikini. Wananchi masikini ndio wamezidi kuwa masikini, wakati bado viongozi na familia zao wakiishi maisha ya juu. Hayo maneno yaliyotengenezwa na kitengo eti ni wananchi masikini wanatumikiwa, wananchi wameshayastukia ni suala la muda wataanza kuhoji kiwaziwazi. Maisha ya wananchi halisi ni magumu na wanaosema ni mazuri ni watu waliolipwa kueneza propaganda hii. Jana waziri Mpango anakiri kwa soni kwamba kama uchumi wako haukui basi hata kipato chako hakitakua. Nguvu kazi imehamia kucheza michezo ya kubet, hakuna anayejikita kwenye kilimo tena na viwanda imebaki ni porojo za jukwaani.
 
Aiseeee

Kweli inaonyesha wengi mnaisoma namba hadi mnabwatuka ovyo ka nyie ndio watengeneza dhambi mnazotamani awe nazo.

Nchi hii inaonyesha Magufuli ni hakunaga katika historia ya nchi hii

Magufuli oyeeee

N.b. nimekusaidia kauzi kako kukupa kiki maana umedoda.. mjue wananchi yaani wadau wapo upande upi kwa wingiiiii

Sijaleta uzi hapa hili nipate kiki, nimechambua mambo yaliyotokea chini ya awamu ya Rais mpaka sasa. Ana maswali mengi ya kujibu na ipo siku ataulizwa kwanini watanzania walikua wanauliwa chini ya utawala wako.
 
Kakobe ndio atubu sana kama kadanganya uraia wake na kuingilia siasa za nchi yetu na aseme hivi" Mungu wangu, nimetubu sana dhambi zangu, kwani ndiwe mwenye kupendeza, wachukizwa na dhambi. Basi sitaki kukosa tena, nitafanya kitubio, naomba neema zako nipata kurudi. Amina.

Sasa hivi Kakobe kadanganya uraia wake? Hivi nyie akili zenu zimefungiwa wapi?
 
Back
Top Bottom