jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 21,689
- 41,849
Baada ya matamko ya nchi wahisahi kuhusiana na matukio ya liyotokea kabla na baada ya uchaguzi(feki) uliofanyika Tanzania.
Kama ilivyo ada mashehe wetu wasiwasite kutoka na kuitetea Serikali kama wa fanyavyo dhidi ya Matamko ya TEC.
Kwa kutoa matamko makali dhidi ya hawa mabeberu wanayoiandama Serikali.
Bila kusahau ile statement yao pendwa ya kuwakata v**chwa hao wahisani wasiyoipenda amani ya Tanzania na kuleta chokochoko.
Mungu ibariki Tanganyika.