Kwa kweli sina budi kutoa dukuduku langu kuhusiana na mwenendo mzima wa timu yetu ya taifa Taifa Stars .............. binafsi naamini soka sio maneno soka ni vitendo kwa hali inavyoendelea stars inazidi kudorola ..... binafsi sina imani naye na naona kama kuna maswala ya kupeana peana lakini siamini kama ataaweza kuibadilisha soka kwa hali hii anayokwenda nayo...