Ni ------- wa kike

Hlo neno lililokuwa censored na mods ni lipi?,Ps liandike with dots,mana sijaelwa bado
 
Umeshaliwa mkuu. Anakuzuga hana feelings ili usimzengee tena, hasa baada ya kujua we sio size yake au game lako halijamkolea. Angekuwa anajua hana hiyo makitu angekubalije kwenda kujivinjari na wewe?

BTW ulimpa shingapi???
Hapo umenena kula tano
 
si aweza kua lesbian jamani!
Hawako attracted na mwanaume kimapenzi!
 
Mkuu yawezekana hukumuandaa nadhani ulimpanda kama kuku
 
Mahanithi wa kike wapo ila kwa maumbile yao si rahisi kugundua! Wapo wanawake wa ukweli lakini unakuta kwenye k hakuna kitu yaani kuna tundu la kukojolea tu, niliwahi kuwashuhudia 2! Wengine wapo hawana hamu wala hisia na mapenzi lkn k inakuwa nayo!
 
Hicho ndicho kilichonipata mimi
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…