mwanakijiji lugusi
Senior Member
- Apr 13, 2016
- 128
- 96
Open university sio Chuo mkuu?wakuu polen na majukumu naomben kuuliza ni vyuo gani mpaka sasa wanaopokea wale waliohitimu foundation program open university? Coz mpaka sasa mambo hayaeleweki kabisa nahisi open wametutapeli na kutupotezea muda na ada zetu
Foundation ni program inayokupa sifa ya kusoma shahada kama hukupata alama stahiki za kujiunga chuo kikuu. Unatakiwa uwe na GPA ya kuanzia 3 ya foundation ili uweze kuomba udahili chuo kikuu.. Ukiwa na GPA hiyo na kuendelea uko huru kuomba udahili chuo chochote.wakuu polen na majukumu naomben kuuliza ni vyuo gani mpaka sasa wanaopokea wale waliohitimu foundation program open university? Coz mpaka sasa mambo hayaeleweki kabisa nahisi open wametutapeli na kutupotezea muda na ada zetu
Kwa muktadha wa kisiasa (hasa za ccm) uko sahihi. Ila kitaaluma BIG NO!Foundation ni program inayokupa sifa ya kusoma shahada kama hukupata alama stahiki za kujiunga chuo kikuu. Unatakiwa uwe na GPA ya kuanzia 3 ya foundation ili uweze kuomba udahili chuo kikuu.. Ukiwa na GPA hiyo na kuendelea uko huru kuomba udahili chuo chochote.
Kwanini?Open university sio Chuo mkuu?
Kwa nini mkuu? Ila ninachoandika hapa ndio ukweli wenyewe.Kwa muktadha wa kisiasa (hasa za ccm) uko sahihi. Ila kitaaluma BIG NO!
Uwiz mtupu na utapeli aisee halaf unaambiwa out ni Chuo cha serikali kwa ushenz huu dah tumeibiwa laki 7 zetu burehata guide book ya tcu hakuna sehem walipozungumzia foundtion program
Malizia degree yako hukohuko OUTUwiz mtupu na utapeli aisee halaf unaambiwa out ni Chuo cha serikali kwa ushenz huu dah tumeibiwa laki 7 zetu bure
Foundation program inatambuliwa na TCU kama njia moja ya kuingia chuo kikuu kusoma degree ya kwanza, soma "Undergraduate Admission Guidebook for 2019/2020 Academic Year (For Holders of Form Six Qualifications)" Mambo yanaharibika ukiingia chuo kimoja kimoja, utakuta ni Open University peke yake walio iweka Foundation Program yenye GPA=3 kama kigezo kimoja wapo cha kuombea. Hii ina maanisha kuwa vyuo vingine BADO havija itambua kama njia ya kuweza kuomba udahili. Sijui huko mbeleni, labda kama watu watapiga kelele na kusikika.Foundation ni program inayokupa sifa ya kusoma shahada kama hukupata alama stahiki za kujiunga chuo kikuu. Unatakiwa uwe na GPA ya kuanzia 3 ya foundation ili uweze kuomba udahili chuo kikuu.. Ukiwa na GPA hiyo na kuendelea uko huru kuomba udahili chuo chochote.
Analazimisha kutaka kusoma vyuo vingine wakati anaweza kusoma degree hapo hapo open university of Tanzania aliposoma OFCKwanini?
Si kweli mkuu, TCU wanaifaamu OFC na ipo kwenye guide book Kama sifa moja wapo ya kusoma degree, Ila kwenye vyuo vingi hawajaiweka OFC kama entry qualification yao kuweza kusoma degree zaidi ya open university wenyewe, hivyo sio lazima ukasome vyuo vingine Hata open university uliposoma OFC ni chuo, tena na degree yako ina kuwa accepted Kama za vyuo vingine.hata guide book ya tcu hakuna sehem walipozungumzia foundtion program
Hakuna mkuu usipate Tabu kupata Ushuuda, vyuo vingine vyote sifa za kujiunga na vyuo vyao kwa ngazi ya degree ni uwe Umemaliza form six au diploma, OFC bado Hawajaiweka.Tangu foundation course ianze kutolewa na chuo kikuu huria 2016 hakuna waliohitim na wakaomba chuo kingne il waje watoe ushuhuda??
Sio kweli kaitizame upya kama hujaiona sema uoneshwe..hata guide book ya tcu hakuna sehem walipozungumzia foundtion program