Ni Vyuo gani vya elimu ya juu vinaongoza kwa kuchukua div 3 and failures?

Jamani kafeli huyu msaidieni aende chuo gani? Mimi nakushauri uende veta ukajifunze kupamba kumbi za sherehe.

Hii thread imenisaidia kutambua watu waliosoma vyuo uchwara!

kati ya bachelor of science in microbiolgy na bachelor of science in molecular biology and biotechnology?

Rudi shule ukajifunze kuwa, mwanafunzi anadairiwa kupitia vigezo vya NACTE, na wala awaangalii ulipata Div gani.

jamani,nahoji upeo wa mawazo wa muuliza swali, na kama kweli yeye ni msomi au m2 asiye na elimu,naona bado ana mawazo ya mwaka 47 kwamba hapa bongo chuo ni udsm tu,hayo ni mawazo mgando,nadhan mmemshauri vzr juu ya kufanya research za waliojiriwa mwaka 2009/10 na aangalie hao anaoamini wanatoka vyuo bora wapo wangapi? Aache maneno mbofumbofu na za kitoto.

Nawauliza wanaJF
Ondoa mawazo ya kitumwa kichwani mwako .Unajiona umafaulu lakini Tunayoiita elimu hasa hauna kichwani kwako ,mkaririshaji mkubwa ww. Ukiendelea hv utajikosesha opportunity nyingi katika maisha.

mimi nijuavyo hata div IV ni pass! maana kwenye cheti wanaandika flani amekuwa awarded cheti kwa kupata daraja la 4 .. kwenye mabano (PASS) maybe kutokana na udogo wa vyuo hapa kwetu tanzania ndio maana wanakosa nafasi..

nimeona watu wengi wenye daraja la nne wanakwenda kusoma nje ya nchi na kurudi tanzania na kuwa madactari na ma engineer wazuri tu

Ondoa mawazo ya kitumwa kichwani mwako .Unajiona umafaulu lakini Tunayoiita elimu hasa hauna kichwani kwako ,mkaririshaji mkubwa ww. Ukiendelea hv utajikosesha opportunity nyingi katika maisha.
aulizae anataka kujua, sijui shutuma zote hizo zinatoka wapi?

aulizae anataka kujua, sijui shutuma zote hizo zinatoka wapi?

mjuze basi wewe. Hilo nalo ni swali la kuuliza watu wazima, hilo swali la kitoto tipically ndo maan unaona hata aina ya majibu yato lewayo.

umemjibu swali vizur sana. Ni mtoto akikua ataacha.

Jamani kafeli huyu msaidieni aende chuo gani? Mimi nakushauri uende veta ukajifunze kupamba kumbi za sherehe.

umempatia.

Wapo wanaoingia na div 1 varsity wakafanya vibaya na hao wa div 3 wakafaulu vizuri. Ukizingatia mfumo wetu wa elimu ya sekondari tz, mtu anaweza akapata div 1 lakn asiwe na chochote zaidi ya kumeza past paper.

SUA kuna Pre entry "VIDU" ambapo wale wenye div 3 hasa ladies wanapikwa ili waje kupiga skuli na wenye div 1 na div 2

si udogo wa chuo, weng wanaoenda chuo wanakosa mkopo, kwa watu wenye uwezo wa uchumi wanasoma Mliman, Sua na hata Mzumbe na four zao mwshoni wana make fresh wanakuacha wa 3 yako. Unafikir kwa nn ma To hawapend kusoma bongo. Wanakimbzwa wakfka chuo.

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…