Ni Vyuo gani vya elimu ya juu vinaongoza kwa kuchukua div 3 and failures? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni Vyuo gani vya elimu ya juu vinaongoza kwa kuchukua div 3 and failures?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by njoro, Jan 27, 2011.

 1. njoro

  njoro Senior Member

  #1
  Jan 27, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 178
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nawauliza wanaJF
   
 2. njoro

  njoro Senior Member

  #2
  Jan 27, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 178
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  NOTE: kutokana na matokeo ya form six
   
 3. m

  masssaiboi JF-Expert Member

  #3
  Jan 27, 2011
  Joined: Feb 10, 2009
  Messages: 637
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 33
  Saut, mzumbe, ifm, moro muslim......
   
 4. Kashaijabutege

  Kashaijabutege JF-Expert Member

  #4
  Jan 27, 2011
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 2,699
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Suza, miu, imtu
   
 5. Smarter

  Smarter JF-Expert Member

  #5
  Jan 27, 2011
  Joined: Nov 10, 2008
  Messages: 455
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Msipotoshe watu....Hakuna chuo kinachukua Failures!

  Qualifications za kujiunga na courses zinatofautiana;
  sasa unaposema Dv 3 unamaana gani..........Anataka kusoma course gani chuo? cause DIV 3 ya PCM; PCB Muhimbili; UD; panakuhusu.....................................Eleza vizuri.
   
 6. kilimasera

  kilimasera JF-Expert Member

  #6
  Jan 27, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 3,073
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  hapo umenena

   
 7. m

  mamakunda JF-Expert Member

  #7
  Jan 27, 2011
  Joined: Jul 4, 2010
  Messages: 371
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Hakuna chuo kinachochukua failures, wote wana sifa kwa mujibu wa TCU, ila sema hivi kuna vyuo ambavyo vinachukua waliofaulu vizuri cream ya juu. Na vyuo vingine ndo vinachukua wengine, waliokosa vyuo vinavyogombaniwa na vilivyo kwenye rank ya juu!
   
 8. m

  matambo JF-Expert Member

  #8
  Jan 27, 2011
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 728
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  kwanza aliyekwambia mtu aliyepata division 3 amefeli ni nani? you are sick and pathetic bin pitiful!!!!

  you are suffering from grandiosity , please see a nearest psychiatrist for further investigation!!

  mtu aliyepata division 3 anaweza na anastahili kuingia university, kama ilivyo aliyepata divisheni 3 ya poit 25 anavyokuwa na haki ya kwenda form 5 so long as kwenye combination yake awe na walau c 3, hii inanikumbusha attitude ya wanafunzi wengi tuliopitia special scholls i.e mzumbe,kibaha na ilboru, huwa tunafikiri hakuna watu wengine kama sisi na hata tukifika chuo kikuu sisi ndo tutatoka the best students lakini hali haikuwa hivyo na wengi tu waliokuwa wamepata daraja la 2 chuoni kwetu walikuwa wanafanya vizuri wakatoka na hons wakati wenzetu tuliotoka nao special school wakiwa na division 1 walikuwa wanahangaika na supp kila semester
  sisi wakati tunaingia university tuliambiwa wasomi tanzania tuliofika chuo kikuu by then tulikuwa 0.05% ya population yote, na sisi tulikuwa tukijiona ndio the brightest guys in the country lakini ukweli sio huo, wapo watu wengi waliopata divishen 3 na wakaweza kufanya vizuri sana university
  ingelikuwa condition ziko strict then serikali isingeanzisha TCU na wala leo hii kusingekuwa na tumaini university, kcmc university, saut, st joseph college of engineering and the like.
  ondoa ukungu uliokutawala machoni mwaka kaka, kupata wani a-level sio kutoka na first class chuo kikuu,
   
 9. Rich Dad

  Rich Dad JF-Expert Member

  #9
  Jan 27, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 741
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  hata hao ambao passmark zao sio za kuridhisha wanachukuliwa na baadhi ya vyuo kutokana na programme maalumu kwa kila chuo ili kuwaandaa waweze kudumu masomo.

  mfano kwa madaktari ni pre-med course ya mwaka mmoja kabla hajaanza rasmi kuchukua mafunzo. wengine wanaita foundation course.

  NB: Kufeli maramoja si muhuri kwa mtu kwamba yeye ni mbumbumbu hawezi kitu. watu wanabadilika na wanakuja kuwa wataalamu wazuri siku za usoni, licha ya kwamba anahistoria ya kufeli katika kipindi fulani siku za nyuma.
   
 10. Rich Dad

  Rich Dad JF-Expert Member

  #10
  Jan 27, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 741
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Nashukuru mkuu kwa kumuondolea ukungu alionao.
   
 11. njoro

  njoro Senior Member

  #11
  Jan 27, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 178
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ndo mana nikatenganisha kati ya div and failures,kumbuka always kuna wakwanza,wakatikati na wa mwisho,..bro uko IFM/SAUT/MUCCOBS/ nn
   
 12. Maarifa

  Maarifa JF-Expert Member

  #12
  Jan 27, 2011
  Joined: Nov 23, 2006
  Messages: 2,880
  Likes Received: 1,051
  Trophy Points: 280
  Lakini siku hizi TCU ndo wanacontrol enrolment. Ila tuwe wakweli kuwa UDSM Bado kinachukuwa cream! ingawa kuna wengine ni vipanga ila hawataki kwenda mlimani kwa sababu ya umangimeza wao! Tatizo langu sio admission. Tatizo langu ni results!!! Vyuo vya binafsi wengi huondoka na GPA ya 4.9 enegineering!! tena sio mmoja bali msululu!! hapo ndo kwenye shida!!!
   
 13. Maarifa

  Maarifa JF-Expert Member

  #13
  Jan 27, 2011
  Joined: Nov 23, 2006
  Messages: 2,880
  Likes Received: 1,051
  Trophy Points: 280
  Mzee wenzio wanapeleka ulimi mpaka juu ya pua!! sasa wewe mbona hiyo kidogo tu?
   
 14. Mohammed Shossi

  Mohammed Shossi Verified User

  #14
  Jan 27, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 3,986
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  Vyuo vya ualimu...................
   
 15. m

  matambo JF-Expert Member

  #15
  Jan 27, 2011
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 728
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  wewe unaonekana ni mtoto tena hujapevuka na naamini hauzidi miaka 25

  hakuna chuo chochote kinachodahili wanafunzi wa shahada kwa kutumia failures na kwa wale wanaotoa special consideration to some groups e.g women hufanya pre-entry course na hapo hata the giant yako the University of Dar es Salaam hufanya hivyo kwenye baadhi ya kozi kama vile engineering, kwa hiyo UDSM kama unataka kwa definition yako, then ni miongoni mwa vyuo vinavyoadmitt failures!!!
  suala la admission pia hutegemea na wingi wa wanafunzi wanaoomba kozi husika na hotness yake kwenye market, wewe upo radi usome kozi yoyote so long as inatolewa udsm hata kama ni third choice yako lakini mwingine akikosa law mlimani atatafuta kwingine be it tumaini ,saut wherever ili atimize ndoto zake za kuwa mwanasheria. ukiapply chuo muhimbili(MUHAS) watakwambia kabisa kozi za medicine, pharmacy na environmental health science zinagombewa na wengi so posibility ya kukosa ipo, sasa mtu yeye akitaka medicine au pharmacy muhimbili akakosa utamponda kwa kuomba kcmc,bugando au st john dodoma so long as ana point 4.5 ili atimize ndoto ya kuwa medical doctor au pharmacist?
  vyuo vingine hivi vya sasa vina kozi zisizopatikana vyuo vikongwe mfano course za procurement and supplies zilianza kwanza vyuo vipya kabla ya vyuo vikongwe navyo kuanzisha kozi hizi

  halafu ishu ya mimi kuwa IFM,SAUT/MUCCOBS sio ishu wala haina uhusiano wowote wa haya ninayoyaandika
  FYI, sipajui SAUT, MUCCOBS na IFM nilipata kufika mara mbili tena muda mrefu baada ya kwisha kumaliza shahada ya kwanza , ambayo ilikuwa siku nyingi kabla ya wewe kuwa chuoni na kabla mkwere hajawa rais wa nchi hii na ujue niliipata kutoka chuo kikuu cha kwanza tanzania na pia the first medical university kabla ya kubadili jina lake ililonalo sasa.
   
 16. K

  KVM JF-Expert Member

  #16
  Feb 26, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 1,814
  Likes Received: 336
  Trophy Points: 180
  Mimi nadhani muulizaji ameuliza swali zuri ila labda lugha yake siyo nzuri sana.

  Duniani kote kuna vyuo ambavyo vinaoongoza kwa kudahili wanafunzi waliofaulu sana kuliko wengine. Hata ndani ya vyuo vyenyewe wanafunzi wangombanian i masomo fulani. Kwa mfano, ukitaka ujiunge na masomo ya udaktari lazima ufaulu sana kuliko wengine kwenye mchepuo wako. Hivyo hivyo ukitaka ujiunge na Engineering, Acturial Science, nk. Kuna wachache sana ambao watkuwa wamefaulu vizuri sana wakaamua kwenye kwenye vyuo ambavyo havigombaniwi sana au kuchua masomo ambao hayagombaniwi sana. Kwa Tanzania sidhani kama kuna vyuo ambavyo vinachukua wanafunzi waliofeli, japokuwa kwenye nchi nyingi vipo. Vinafahamika.

  Is there any problem of ranking our Universities in Tanzania? As a paranet/guardian, won't you care to advice you child to go to certain universities and not to others?
   
 17. Gsana

  Gsana JF-Expert Member

  #17
  Feb 26, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 4,387
  Likes Received: 348
  Trophy Points: 180
  tusiwaze kama hatujasoma chuo. Unaweza kutoa mfano wa chuo chochote mtu wa engeneering mwenye GPA YA 4.9 Ebu tuache kunena bila takwimu wakuu!
   
 18. Gsana

  Gsana JF-Expert Member

  #18
  Feb 26, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 4,387
  Likes Received: 348
  Trophy Points: 180
  mkuu. Hamna chuo kilichotambuliwa na TCU wala NACTE kinachokubali failures. Mkuu kumbuka kama mtu anasoma na kupata matokeo ya failure,hapewi cheti na hamna chuo chochote Tanzania kinachomkubali mtu asiye na cheti. Achana na form5 ambako utasikia matangazo "tunapokea waliofeli/ku reseat. Chuo ni taasisi zilizo chini ya utawala wa taifa na uanzishwaji wake unatungiwa utaratibu,mfano Tia act 2003, Ifm under ACT OF 1972. Jaman tufike wakati tuelewe utaalamu wa elimu. Mfano mi nlikutana na wanafunzi wengi Dsm waki reseat eti hawana crdt. Mwaka 2,3 mpaka4 wanareseat wakati mtu ana C tatu civics, physic,english na D3,kwa kukosa ushauri mtu anagangania kureseat. Baada ya ushauri wangu walienda Diploma,na leo wapo mwaka wa tatu law udsm,mwingne anamaliza mwaka3 IT IFM,na mwingne yuko saut education. Sitataja majina ila mpaka sasa wananishukuru sana. Kwa ayo mkuu nakuakikishia ukiwa unaielewa elimu ya Tz haupati tabu ila ukikaa kuwaza kikasuku mfano eti mpaka uende Ifm,UDSM au Mzumbe utakesha. Vijana wenye D5 wanasifa ya kufanya cheti kutoka na elimu ya Tz,ukizidi apo kwa f4 unaweza kufanya diploma,maisha yanakwenda. Onyo: usiganganie chuo flan eti ndo kikongwe, au ndo bora ktk list ya afrika au ulimwengu,ndo kikubwa,utashangaa. Nakupa assignment,nenda TRA,UHAMIAJI,WAHASIBU WIZARA NA WAHASIBU WILAYA,CUSTOMS, AUDIT firms na Benki,ufanye tathmini,ndo uje uelewe kugangania chuo flani ni ujinga. Mfano tu: tafuta takwimu walioajiriwa Tra mwaka jana wengi chuo gani,waliojiunga masters mwaka jana/mzumbe tu, wengi chuo gani? Na mwisho twende Crdb na Std chartered kama benki za mfano uje na takwimu walioajiriwa mwaka jana mpaka dakika hii wametoka vyuo gani. Utapata ukweli usio na ushabiki ,kwa kuwa mwisho wa siku hautapata sifa kwa chuo ulichosoma ila mafanikio yako. Hii haipingani na ukweli kuwa Tz kuna vyuo mashuhuri,tusibeze,ila mwishowe tunascan individually umefaidikaje. Kama unataka siasa na mwanamapinduzi basi najua unajua chuo cha kwenda,lakini kama unataka mafanikio,achana na mkumbo,tafuta chuo chenye kozi muhimu. Sitaki umiliki digrii nzuri uende kuambulia TSG D,wakati wenzio wenye Certificate au Diploma wanakula mara 4 yako. Asikwambie mtu,1.5mil mpaka 2.O mil. kwa mwezi alafu wewe unagangania digrii ya kulea watoto ktk chuo fulan alaf unakuja kulipwa dola 180 usd,ni juu yako,kama unasaka mafanikio,fukuzia digrii zenye short payback period. WE HAVE TRIED AND IT WORKS BEST. Pray your PART. Hapa ni mwisho mkuu na nasign out.
   
 19. Mushobozi

  Mushobozi JF-Expert Member

  #19
  Feb 26, 2011
  Joined: Aug 20, 2007
  Messages: 543
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  one of the unfortunate thread which one to defend needs to be theoretical
   
 20. jenock86

  jenock86 New Member

  #20
  Aug 27, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mi nafikiri muuliza swali, utoto unamsumbua tcu iliweka vigezo vya udahili katika vyuo vikuu. So kwa kupitia vigezo hivyo wanafunzi ndio wana dahiliwa. Au hufahamu kwa sasa tcu ndio wako responsible kudahili wanachuo.
   
Loading...