Mwanakili90
JF-Expert Member
- Nov 24, 2010
- 1,568
- 246
- Thread starter
-
- #61
Mkuu hiyo heading yako inakosa mshiko kidogo,maana kusema ni vita kati ya Rage na Mnyika sidhani kama uwezo wa Rage kiakili unaweza kufananisha na Mnyika....kwa kila kitu,michango bungeni,hotuba na kuwajenga watanzania kifikra,Rage yupo mbali sana huyu msomali....nadhani akashindane na watu wengine na sio Mnyika kwenye hoja....kama tunakubaliana kuwa ni vita,basi ni kama kusema vita kati ya Somalia na NATO halafu utegemee kuwa Somalia watashinda.........
Lema hakukaa jela, alikua 'selo' tu, so hajui vema ndugu.
Kama wajua weka hadharan maana naona umeguswa sana
Hakuna mtu huwa simtilii maanani kama Rage but katika hili la Mh Rais kumteua Lubuva yuko sahihi na tunapaswa kukubali maana katiba/mamlaka iliyomuongoza Jk ni hii hii ambayo haijabadilishwa,sasa aache kuteua? Ni mpaka hapo katiba itakap[obadilishwa na kuelekeza tofauti katika jambo la tume ya uchaguzi na upatikanaji wa viongozi wake
Mmbangifingi,
Alichokisema mbunge wetu ni JOHN MNYIKA: Majina mapya bila mfumo mpya hauwezi kutuhakikisha ufanisi wa tume wala kuwa na chaguzi huru na za haki . Rage alipaswa kuzijibu hoja zake badala ya kuanza kumshambulia binafsi.
serayamajimbo
kama kawaida yako kibaraka wa magamba toka udom wasio na msimamo!wapinzani wao kazi yao kubwa ni kupinga kila kitu.
Naenda kanisani nikirudi nitatoa maoni
Mkuu, hii ni forum tunachangia wote tu, unataka kuniambia "Selo" ni salama?
wewe ndo yule yule
Rage ni msomalia, ni gaidi, fisadi wa FAT=TFF, anatembea na pisto utafikiri yupo kwao somalia hata kwa wapigaji kura wake, na amshukuru kikwete bila yake asingelipata huo ubunge, tusubiri 2015 kama atarudi mjengoni? Mnyika yuko sahihi kabisa na ni mtetezi wa wanyonge!
sijakupata vizuri, alikua anapakuliwa nini na huyo nyapala ? Ugali au mboga?
Mana nasikia mchuzi debe harage moja.
Kwani ni kitu gani Mnyika amekifanya kwenye jimbo lake kitakumbukwa?Unataka kutuaminisha kwamba Mnyika anafanya vizuri ndani ya jimbo lake?Je ameshakamilisha ahadi ngapi alizoahidi wakati wa kampeni wacheni bana kutetea na kumuosha mtu kwa manukato yanayonuka!!Matatizo yaliyopo Tabora mjini na ambayo Rage ameshindwa kuyasimamia ni Mengi,miaka 50 ya uhuru maji Tabora ni issue kubwa' manispaa ya Tabora imezungukwa na barabara mbovu ajabu,aache kumjadili Mnyika ajadili matatizo ya jimbo lake!
Huyu jamaa hewa! Na ndio maana alizomewa kule Tabora,anakurupuka tu na isitoteshe mnyika na watanzania wengine tuna uhuru wa kutoa mawazo kwani raisi ni raisi wa nani na anawatumikia akina nanni,hewa! Sio kila jambo analofanya raisi na wasaidizi wake ni nzuri wao sio malaikaMBUNGE wa Jimbo la Tabora Mjini, Ismail Aden Rage (CCM) amemjia juu Mbunge wa Ubungo, John Mnyika (Chadema) akimtaka kuacha kuubeza uteuzi wa Mwenyekiti na Mkurugenzi Mpya wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), uliofanywa na Rais Jakaya Kikwete hivi karibuni. Badala yake, amemtaka afahamu kuwa, yote yanayofanywa na Rais Kikwete yamo ndani ya mamlaka yake kikatiba.
Jamani, mwambieni Mnyika aache kutafuta umaarufu wa kisiasa kwa kupinga kila kitu. Hivi Rais amekosea wapi Alichokifanya si kimo ndani ya katiba ya nchi ambayo ilimpa rais kuteua tume iliyosimamia uchaguzi mkuu uliopita na ambao Mnyika alishiriki na kushinda? alihoji.
Rage, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi mkoani Tabora, alisema Mnyika na viongozi wengine wa kambi ya upinzani wanatumia nguvu nyingi kubeza mchakato wa kuelekea kupatika kwa katiba mpya, badala ya kuhangaika kutatua kero za wananchi.
Alisema kiongozi wa kweli ni yule anayeguswa na matatizo ya mwananchi, na si anayetumia muda mwingi kupinga kila jambo, hata ambalo mwananchi wa kawaida halimgusi sana.
Chanzo: Jambo leo
Kwani ni kitu gani Mnyika amekifanya kwenye jimbo lake kitakumbukwa?Unataka kutuaminisha kwamba Mnyika anafanya vizuri ndani ya jimbo lake?Je ameshakamilisha ahadi ngapi alizoahidi wakati wa kampeni wacheni bana kutetea na kumuosha mtu kwa manukato yanayonuka!!
wewe ndo yule yule
John MnyikaMBUNGE wa Jimbo la Tabora Mjini, Ismail Aden Rage (CCM) amemjia juu Mbunge wa Ubungo, John Mnyika (Chadema) akimtaka kuacha kuubeza uteuzi wa Mwenyekiti na Mkurugenzi Mpya wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), uliofanywa na Rais Jakaya Kikwete hivi karibuni. Badala yake, amemtaka afahamu kuwa, yote yanayofanywa na Rais Kikwete yamo ndani ya mamlaka yake kikatiba.
Jamani, mwambieni Mnyika aache kutafuta umaarufu wa kisiasa kwa kupinga kila kitu. Hivi Rais amekosea wapi Alichokifanya si kimo ndani ya katiba ya nchi ambayo ilimpa rais kuteua tume iliyosimamia uchaguzi mkuu uliopita na ambao Mnyika alishiriki na kushinda? alihoji.
Rage, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi mkoani Tabora, alisema Mnyika na viongozi wengine wa kambi ya upinzani wanatumia nguvu nyingi kubeza mchakato wa kuelekea kupatika kwa katiba mpya, badala ya kuhangaika kutatua kero za wananchi.
Alisema kiongozi wa kweli ni yule anayeguswa na matatizo ya mwananchi, na si anayetumia muda mwingi kupinga kila jambo, hata ambalo mwananchi wa kawaida halimgusi sana.
Chanzo: Jambo leo
Mmm! Heshima mkuu,
Hili nalo neno...